Masalakulangwasa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 354
- 436
Ww ndo huna mwelekeoKwa sasa vyama pinzani havina mwelekeo, matumaini yanapotea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww ndo huna mwelekeoKwa sasa vyama pinzani havina mwelekeo, matumaini yanapotea.
Kwani unadhani hata sasa hivi atakaa siku ngapi labla hajaenda Ulaya kueleza matumizi ya pesa aliyopewa ili achotewe nyingine? Fuatilieni tu. Ndio maana iwe nini au nini ni lazima agombee urais kwa sababu fungu ni kubwa. Hata CHADEMA wakisema hawagombee urais kwa hakika Lissu atagombea ili achukue lile fungu kutoka UlayaMpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Hazikutoshi. Hilo linafahamika toka mwanzo.Nipo mpaka unyooke!!😄😄
Abubakari kafiwa kwa Sasa anaenda rondo kuzikwa naeAbubakari amekosa ujasiri na mvuto kisa yuko jikoni masaa yote, watu wanahisi anajichukulia mapande ya nyama
Wana uhusiano na bobezi?Abubakari kafiwa kwa Sasa anaenda rondo kuzikwa nae
Mwamba yuko Full combatHivi huyu mwamba kumbe yupo!
Naona Ushalowa!! Sina haja ya kukupaka vilainishi😆😆😆 come on!!Hazikutoshi. Hilo linafahamika toka mwanzo.
Wewe huna tofauti na mbwa mwananguKwa sasa hamna upinzani halisi Tanzania, labda kizaliwe chama kingine siyo hivi vinavyomilikiwa na BT. Nyuma ya pazia
Yale mabango ya kumsifu mama nchi nzima ni tenda ya mtu anapiga hela kinoma ni upigaji mpya jamaa walibuniMabango yanakera Kwa kweli
Wewe huna tofauti na mbwa mwanangu
Jina huwa linaumba, misalaba sio jina zuri.Tanzania kwa sasa hatuna upinzani tuna upinzani wapiga dili.
Tundu Lisu pekee si mtu wa kuramba asali, Tanzania labda ktk vyama vipya 6 vilivyopata majuzi usajili wa mda kimojawapo kitaweza kuleta ushindani kwa CCM na si hivi vicoba vya vidole juu na Zambarau.
Unaongeza kudidimia zaidi.Naona Ushalowa!! Sina haja ya kukupaka vilainishi😆😆😆 come on!!
Naona Ushalowa!! Sina haja ya kukupaka vilainishi😆😆😆 come on!!
🤔🤔🤔Unaongeza kudidimia zaidi.