Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
..Chadema kuna uhuru wa maoni, na mawazo.
..Ccm mnasubiri atakachosema Mwenyekiti hata kama hakina mantiki mnaunga mkono.
Kama mna uhuru wa maoni, mawazo Chadema, toeni mawazo kwanza Mwenyekiti wetu apishe wengine, sbb kakaa miaka mingi sana, alafu uone mtakavyo fukuzwa kama mbwa, CHADEMA ndio hakuna uhuru kabisa, hata matumizi ya ruzuku hakuna anayejua, except Mwenyekiti.