akiwa Mjini Morogoro amepokea ujumbe ulioletwa na Askari(mapolisi) wastaafu wa 2020 wakidai mafao yao na Pesa za kusafiria kurudi makwao
Pia Mh @TunduALissu amesema Hali ya kucheleweshwa mafao kwa wastaafu ni kwa wafanya Kazi wote
: "Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?" Mh. Tundu Lissu muda huu Morogoro.
: #Maridhiano Maanake ni makubaliano ya watu wanaopendana sasa wanaafikiana kukubaliana
Sasa ni mwaka tokea tumeanza kitu kinachoitwa maridhiano hoja zetu tuliziwasilisha kwa njia ya maandishi lakini hakuna hata hoja moja imejibiwa hadi ninapoongea hapa .
#Mh @TunduALissu Akiwa Morogoro mjini.
Lissu : Mapendekezo tuliyopeleka kwa maandishi sasa ni mwaka alijajibiwa hata moja mpaka leo
Ila tunasikia sikia tu #KatibaMpya , ila tulichopendekeza hakuna kitu kimefanyiwa kazi, ila tuaambiwa tulieni tu, tunaona tu mambo yanaendelea bila mapendekezo yetu ya mwaka Jana.
Tumepeleka mapendekezo, kitu gani kifanyika, kifanyike lini na kifanyike na nani kupitia Maridhiano , ni mwaka sasa mpaka leo hakuna kitu kimejibiwa na tunakaribia kuingia kwenye chaguzi na sheria zile zile
Maridhiano ni jambo zuri ila tunaambiwa tu tulieni !! Sio sawa.
: Nimepita kwenye around about ya Morogoro nimeona Bango kubwa Lina Picha ya Samia na limeandikwa "Lipa Kodi Tujenge Nchi kwa Pamoja" Sasa hii ni wajenge Uchumi au Lipa kodi sisi tule, yote kwa yote haya mabango ni Campaign 2025 Ila tujiulize kwa Katiba ipi? Mh @TunduALissu
"Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Mimi kwa Sasa wananiita Chiba walionipiga risasi waponimepatanishwa nao? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?",walioporwa ardhi zao huko Mbarali, loliondo, Morogoro,mabwepande,wamepatanishwa na Nani?
Kupatanisha Ni kutenda haki na siyo kubandika mabango,,hapa Morogoro hamjapendelewa kuwa na mabango,nchi nzima Kuna mabango,Arusha kila mita 20 Kuna bango limewekwa na picha ya MH MBOWE na Mimi,wakati mwaka Jana tu walimuita gaidi,Leo siyo gaidi amekuwa mpatanishi SAA ngapi ?,tusidanganyane,kila mtu apige kelele,na nyie mashehe na wachungaji na maaskofu pigeni kelele,ongeeni haki na siyo tu kuhubiri pia mhoji vitu Kama hivi.
Mh. Tundu Lissu Leo Morogoro.