Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #101
Haya...na wafukuza Upepo!
....na masikini waliochoka hata majamabazi wanawakimbia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya...na wafukuza Upepo!
....na masikini waliochoka hata majamabazi wanawakimbia!
mbona unaleta uchama? Kile ni kichwa ujueMpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Jamani tuwe makini katika hili, tushirikiane kwa pamoja tuiue CCM 2025 na kuwakamata viongozi wezi kama kina Makamba, Nchemba, na wengineo. Hii nchi haiwezi kuendelea chini ya CCM hata iweje, tunapigwa changa la macho tu.Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kama wamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na hatima yao wala habari zao hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwemo Ben Saanane , ambao hawajulikani walipo hadi leo , huku wenye madaraka au vyombo vya dola vikinyamaza , anasema katika hali hii anawezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? na kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapatanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Mhh, zengwe alilolipata Kikeke huko Ulaya atakuja hadithia mwenyewe! Hainiingilii akilini wiki chache, tena baada ya maandalizi ya kihistoria na ya muda mrefu ya coronation ya Ufalme ndio aondoke. Kwa wenye kuangalia haya kwa mapana Utaona isingekuwa rahisi kuacha kuwa mtangazaji kirahisi hivyo tena kwa kuzingatia jinsi kwamba yeyote yule aliyehusika, na hapa kwa watangazaji, kubakia katika rekodi za Dunia kwa centuries and centuries Kuacha, kujiuzulu au kukoma bin vuuu tu.Nina majukumu mazito sana nje ya nchi , siwezi kuwa kuwa kama Kikeke , yaani unaiacha ulaya ili uje upigwe zongo bongo na kulogwa !
Usikubali utumike tu, Kikeke naamini alitambua hilo.Hata hivyo nitaendelea kuipambania nchi yangu kwa njia nyingine
Mbowe na wenzake : MaridhianoKwa mara ya Kwanza na muunga Mkono Lissu. Ukiondoa propaganda zingine Haijalisihi, sababu zangu zitajulikana mbeleni. Walakin, Sijamsikia Mbowe akiwa na mtazamo huo. Kulikoni? au miye sina Taarifa!
Kitaeleweka....tafuteni mahojiano ya Heche ya hivi karibuni.
[emoji1787][emoji1787] Mnyakyusa unaGRANDIOSITY wewe....umeyavaa lini hayo majukumu makubwa ya huko usemako ?!!! [emoji1787][emoji1787]Nina majukumu mazito sana nje ya nchi , siwezi kuwa kuwa kama Kikeke , yaani unaiacha ulaya ili uje upigwe zongo bongo na kulogwa !
Hata hivyo nitaendelea kuipambania nchi yangu kwa njia nyingine
Mimi namuunga mkono lissu ili tusameheyane tuujuwe ukweli ya ndugu zetu waliopotea na wliouwawa na waliohusika wachukuliwe hatua na wanaostahiki kusameheyana ifanyike hivyo Kwa roho safi kama ilivyofanyika south Africa katika utawala wa magufuli aliyeondoka ni magufuli tu wengine wote wapo kwa hivyo hautua zichukuliwe ili Mambo yale yasijekutokea tena.Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Umeona eh! Ila wana ka script chao wamepewa....wanasema "Sisi ni chama kimoja cha kisiasa....." "CHADEMA we are a democratic party", tuna uhuru wa kutoa maoni" n.k n.kMbowe na wenzake : Maridhiano
Lissu ,Imhotep , Erthyrocyte: Harakati
Ipi hio dawa take Mzee unaijua dawa yake ?huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kama wamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na hatima yao wala habari zao hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwemo Ben Saanane , ambao hawajulikani walipo hadi leo , huku wenye madaraka au vyombo vya dola vikinyamaza , anasema katika hali hii anawezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? na kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapatanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo
...na wafukuza Upepo!
....na masikini waliochoka hata majambazi wanawakimbia!
Haya
Lissu anapenda "siasa za uasi".....Tundu Lissu anaenda kinyume na Mwenyekiti wake, kwa hiyo Mwenyekiti wa CHADEMA akisema maridhiano yamefikiwa, yeye Lissu anasema hapana, basi ndani ya CHADEMA tuna wenyeviti wawili? Nani mkubwa ktk Chadema?
Naona CHADEMA kuna msuguano ndani kwa ndani, kwa hiyo yale maridhiano hayana maana, leo Tundu Lissu anaongea Morogoro, hajui ni matokeo ya maridhiano?
Nilisema humu, Lissu sio mtu wa shukrani hata kidogo, hivyo, CCM bahati nzuri inajua kuna watu hata uwape nini, ni bure. Hivyo, CCM insiders tunajua sana, kuna majitu utawapa uhuru wote, bado watakurudisha nyuma wanakumbushia ya awamu ya JPM, tulisema hayo yamepita na haturudi huko, kwani JPM aliumiza Chadema peke yake? Hata CCM waliumia sanaaa, ila tumesahau na maisha yanaendelea, tuko na SSH, sasa Lissu anaturudisha wapi?
Najua sukuma gang bado mnatabika sana!!kubalini MACKENZIE wenu hayupo tena!!ina maana hata kilichofanyika S.Africa na Rwanda huna habari nacho?au ulikuwa hujazaliwa??Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Katika hayo masuala ya msingi yanayohojiwa yapo pia ambayo yahusu maridhiano.
Tundu Lissu anaenda kinyume na Mwenyekiti wake, kwa hiyo Mwenyekiti wa CHADEMA akisema maridhiano yamefikiwa, yeye Lissu anasema hapana, basi ndani ya CHADEMA tuna wenyeviti wawili? Nani mkubwa ktk Chadema?
Naona CHADEMA kuna msuguano ndani kwa ndani, kwa hiyo yale maridhiano hayana maana, leo Tundu Lissu anaongea Morogoro, hajui ni matokeo ya maridhiano?
Nilisema humu, Lissu sio mtu wa shukrani hata kidogo, hivyo, CCM bahati nzuri inajua kuna watu hata uwape nini, ni bure. Hivyo, CCM insiders tunajua sana, kuna majitu utawapa uhuru wote, bado watakurudisha nyuma wanakumbushia ya awamu ya JPM, tulisema hayo yamepita na haturudi huko, kwani JPM aliumiza Chadema peke yake? Hata CCM waliumia sanaaa, ila tumesahau na maisha yanaendelea, tuko na SSH, sasa Lissu anaturudisha wapi?
Unaweza kutuletea ushahidi wa maridhiano kufikiwa ?Tundu Lissu anaenda kinyume na Mwenyekiti wake, kwa hiyo Mwenyekiti wa CHADEMA akisema maridhiano yamefikiwa, yeye Lissu anasema hapana, basi ndani ya CHADEMA tuna wenyeviti wawili? Nani mkubwa ktk Chadema?
Naona CHADEMA kuna msuguano ndani kwa ndani, kwa hiyo yale maridhiano hayana maana, leo Tundu Lissu anaongea Morogoro, hajui ni matokeo ya maridhiano?
Nilisema humu, Lissu sio mtu wa shukrani hata kidogo, hivyo, CCM bahati nzuri inajua kuna watu hata uwape nini, ni bure. Hivyo, CCM insiders tunajua sana, kuna majitu utawapa uhuru wote, bado watakurudisha nyuma wanakumbushia ya awamu ya JPM, tulisema hayo yamepita na haturudi huko, kwani JPM aliumiza Chadema peke yake? Hata CCM waliumia sanaaa, ila tumesahau na maisha yanaendelea, tuko na SSH, sasa Lissu anaturudisha wapi?
Hiyo dawa ndo alipewa Magu, sasa hivi funza wameanza kula fuvu.. maana nyama walimaliza siku nyingi!!!Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Mkuu hicho ndio nilichokisema kwamba Mbowe bado ana imani katika hayo maridhiano ndio maana bado anayapigania, ila wengine imani zao zimepungua katika hayo maridhiano huonyesha mashaka yao kwenye kuhoji kwao.Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaani