Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Bila ya huo "mpatanisho" Serikali hii bora ya awamu ya 6 ingemlipa stahiki zake na mamilioni yale ya kibunge.....Lissu mropokaji tu[emoji1787]
Tofauti na wewe mwenye njaa , Lissu hapiganii mambo yake binafsi , anapambania watu wote
 
Mbona lakini Mkuu habari za TL hatuzipati vizuri naomba Mh Abubakari ampatie uenyekiti TL ili kuweza kuweka mikakati mipya maana Abubakari Huwezo wake umefika mwisho so let's give other peoples chance.
Sheikh Abubakar ndiye MWANASIASA bora wa CDM na si huyu mwanaharakati asiyeyumba......
 
Katika hayo masuala ya msingi yanayohojiwa yapo pia ambayo yahusu maridhiano.
Bali hayazuii Chadema kuhoji chochote kile , haya mambo Mbowe ameyaweka wazi sana kwa ufafanuzi muruwa kabisa , sema kwa vile mna ajenda zenu hamtaki kujua
 
Bali hayazuii Chadema kuhoji chochote kile , haya mambo Mbowe ameyaweka wazi sana kwa ufafanuzi muruwa kabisa , sema kwa vile mna ajenda zenu hamtaki kujua
Masuala ya kuzuia kuhoji hata sijayazungumza mie, nilichosema ni kwamba Lissu anaonekana hana imani na hayo maridhiano tofauti na wengine kama Mbowe ambaye anaonyesha ana imani na haya maridhiano.
 
Mbona lakini Mkuu habari za TL hatuzipati vizuri naomba Mh Abubakari ampatie uenyekiti TL ili kuweza kuweka mikakati mipya maana Abubakari Huwezo wake umefika mwisho so let's give other peoples chance.
Chadema chama changu kwenye Habari na Maelezo wana score Zero.

Mkurugenzi wa Mawasiliano kwa Umma ajitafakari.
 
Masuala ya kuzuia kuhoji hata sijayazungumza mie, nilichosema ni kwamba Lissu anaonekana hana imani na hayo maridhiano tofauti na wengine kama Mbowe ambaye anaonyesha ana imani na haya maridhiano.
Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaani
 
Mbowe alishasema tangu awali kwamba yeye na wajumbe wake watapambana kwenye maridhiano ila sisi wengine tuendelee kuhoji kila kitu majukwaani
Mbowe amesimama CREDIBLY ....

Mbowe na Maridhiano : Siasa

Nyinyi na Tundu Lissu: Harakati [emoji1787][emoji1787]
 
Katika mambo yanayonikera na ni ya kipuuzi ni Yale mabango yaani ni unafiki mtupu. Ifikie hatua Hawa watu wanaotengeneza yale mabango wawe wanatumia hata akili kidogo sio kuweka mabango nchi nzima tena hayana tija wala maana yoyote. Hayo mambo wafanye CCM sio viongozi wa Serikali. Shame on them 😠😠😠
 
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Serikali nayo imekuwa kitengo cha CCM na yale mabango ni propaganda tupu. Ukweli upo kwenye ripoti ya CAG yale mabango ni uchafu tu.
 
Back
Top Bottom