Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulisama hivi ikamkuta Mbowe na genge lake,mimi siishi kwa kupiga Makele kama Lisuzamu yako haiko mbali , what goes around comes around
Kapuku kama wewe huna mamlaka ya kupangia wengine cha kufanyaMvuto umepungua. Hana mvuto tena. Asome alama za nyakati.
asante sanaNaongeza mwamba anasema , matokeo ya urais lazima kutangazwa kwenye gazeti la Serikali, mfano matokeo ya uchaguzi kuanzia 2005 mpaka 2015 yapo kwenye Gazeti la serikali ,ila ni 2020 tu hayapo , anasema maana yake ni kwamba serikali iliyoingia madarakani 2020 hakuchaguliwa
Pili anahoji 2019 wagombea wa serikali za vijiji na mtaa wa vyama pinzani walienguliwa wote , na wa ccm kupita bila kupingwa maana yake wote hawana baraka za kura kutoka kwa wananchi maana yake ...........(jibu mwenyewe)
Tatu mwamba anasema kwenye maridhiano walipeleka mapendekezo kadha wa kadha yahusuyo katiba ila mpaka mda huu pamoja namda kwenda hakuna hoja yoyote imejibiwa
Mh Lissu ni mtu na nusu , mawe aliyotupa pale kama kuna mwanaccm wa kuyajibu nite kuku nipo pale(lissu binafsi sina cha kukulipa ila uwepo wa Mungu ukakufunike kama kuku afunikavyo vifaranga vyake Amen na imekua)
Mungu ameiacha CCM kwa ziada ya miaka 50. Why? Mungu bado anatuweka Afrika kwenye wakati mgumu kuliko wenzetu. Why?Kuhusu kumjua Mungu ni kweli namjua na namheshimu mno , ni kweli nchi hii ni masikini sana , lakini umasikini wake umeletwa na CCM , na ndio maana tunapambana kuing'oa , na tuna hakika kwa msaada wa Mungu inaondoka 2025 .
Wanyama gani hutendeanya ubaya wa aina yetu binadamu?ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Ndo maana yupo hai na funza zinamla diktetaMpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
jibu muruwaNdo maana yupo hai na funza zinamla dikteta
Hakuna kilichopatanishwaKwahiyo hitimisho la Lissu ni nini?
Lissu anaonekana hana imani na haya maridhiano.Hakuna kilichopatanishwa
Maridhiano hayahusiani na mikutano ya chama inayohoji masuala ya msingiLissu anaonekana hana imani na haya maridhiano.
Matusi ya nini sasa ndugu? Mbons una mambo ya kipumbavu sana?!Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR
Katika hayo masuala ya msingi yanayohojiwa yapo pia ambayo yahusu maridhiano.Maridhiano hayahusiani na mikutano ya chama inayohoji masuala ya msingi
Bila ya huo "mpatanisho" Serikali hii bora ya awamu ya 6 ingemlipa stahiki zake na mamilioni yale ya kibunge.....Lissu mropokaji tu[emoji1787]Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kama wamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na hatima yao wala habari zao hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwemo Ben Saanane , ambao hawajulikani walipo hadi leo , huku wenye madaraka au vyombo vya dola vikinyamaza , anasema katika hali hii anawezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? na kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Waliokuwepo hawazidi watu 700.....
asante sanaakiwa Mjini Morogoro amepokea ujumbe ulioletwa na Askari(mapolisi) wastaafu wa 2020 wakidai mafao yao na Pesa za kusafiria kurudi makwao
Pia Mh @TunduALissu amesema Hali ya kucheleweshwa mafao kwa wastaafu ni kwa wafanya Kazi wote
: "Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?" Mh. Tundu Lissu muda huu Morogoro.
: #Maridhiano Maanake ni makubaliano ya watu wanaopendana sasa wanaafikiana kukubaliana
Sasa ni mwaka tokea tumeanza kitu kinachoitwa maridhiano hoja zetu tuliziwasilisha kwa njia ya maandishi lakini hakuna hata hoja moja imejibiwa hadi ninapoongea hapa .
#Mh @TunduALissu Akiwa Morogoro mjini.
Lissu : Mapendekezo tuliyopeleka kwa maandishi sasa ni mwaka alijajibiwa hata moja mpaka leo
Ila tunasikia sikia tu #KatibaMpya , ila tulichopendekeza hakuna kitu kimefanyiwa kazi, ila tuaambiwa tulieni tu, tunaona tu mambo yanaendelea bila mapendekezo yetu ya mwaka Jana.
Tumepeleka mapendekezo, kitu gani kifanyika, kifanyike lini na kifanyike na nani kupitia Maridhiano , ni mwaka sasa mpaka leo hakuna kitu kimejibiwa na tunakaribia kuingia kwenye chaguzi na sheria zile zile
Maridhiano ni jambo zuri ila tunaambiwa tu tulieni !! Sio sawa.
: Nimepita kwenye around about ya Morogoro nimeona Bango kubwa Lina Picha ya Samia na limeandikwa "Lipa Kodi Tujenge Nchi kwa Pamoja" Sasa hii ni wajenge Uchumi au Lipa kodi sisi tule, yote kwa yote haya mabango ni Campaign 2025 Ila tujiulize kwa Katiba ipi? Mh @TunduALissu
"Wamebandika mabango nchi nzima wanasema tumepatanishwa tumepatanishwa na nani? Mimi kwa Sasa wananiita Chiba walionipiga risasi waponimepatanishwa nao? Watu walio uawa na Mimi kupigwa risasa tumepatanishwa na nani?",walioporwa ardhi zao huko Mbarali, loliondo, Morogoro,mabwepande,wamepatanishwa na Nani?
Kupatanisha Ni kutenda haki na siyo kubandika mabango,,hapa Morogoro hamjapendelewa kuwa na mabango,nchi nzima Kuna mabango,Arusha kila mita 20 Kuna bango limewekwa na picha ya MH MBOWE na Mimi,wakati mwaka Jana tu walimuita gaidi,Leo siyo gaidi amekuwa mpatanishi SAA ngapi ?,tusidanganyane,kila mtu apige kelele,na nyie mashehe na wachungaji na maaskofu pigeni kelele,ongeeni haki na siyo tu kuhubiri pia mhoji vitu Kama hivi.
Mh. Tundu Lissu Leo Morogoro.
Mtu ambaye watoto wake ni raia wa EU.....Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu
USSR