Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kama babako mzazi?Huyu wamemtengua kiuno amekuwa kama wewe wanawake nyie
USSR
Achana na Mambo ya kutenguana viuno mkuu.mm nimemuuliza mleta mada kashindwa kunijibu,nimeuliza ikiwa lisu anahoji na hakubaliani na mapatano ,kwahiyo mbowe alijichykulia maamuzi peke yake !??Sio kama babako mzazi?
Mbowe unaye muuliza hapa kafanya nini , ikiwa vikao vya maridhiano vinaendelea ? nilikupuuza kule mwanzo lakini naona unazidi kupayuka , kwanza maridhiano hayajaisha na wala maridhiano hayazuii chadema kusema mambo yake , halafu kwenye maridhiano Chadema imepeleka timu ya watu wengi , si Mbowe pekee , kwanini unadhani Mbowe anaweza kukipinga chama chake ?Achana na Mambo ya kutenguana viuno mkuu.mm nimemuuliza mleta mada kashindwa kunijibu,nimeuliza ikiwa lisu anahoji na hakubaliani na mapatano ,kwahiyo mbowe alijichykulia maamuzi peke yake !??
Kumbe amesharudi. Mbona karudi kimya kimya au hakuna wa kumpokea.Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwe Ben Saanane ambao hawajulikani walipo hadi leo , anasema katika hali hii awezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwe Ben Saanane ambao hawajulikani walipo hadi leo , anasema katika hali hii awezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Mvuto umepungua. Hana mvuto tena. Asome alama za nyakati.
Ifuate KenyaSipendi unafiki Mimi ,wananchi hatuna mtetezi kwa Sasa ,watawala wanatufanya wananchi vile wanavyojisikia.
Upinzani haueleweki ama hawajui waseme nini kuhusu wananchi au Asali inafanya kazi yake.Nchi imeoza Sana hii.
Katiba Mpya ije tu.
Wapi huko ambako nchi haiko shwari. Nchi iko shwari.Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Uwa unajifanya unamjua Mungu. Mungu angekuwa anakupenda sana usingezaliwa 3rd world country. Wewe na ukoo wako mpo kwenye nchi yenye shida ya afya, maji, umeme, miundombinu, utawala bora etc halafu unadhani unapendwa sana na Mungu. Tuachane na hizi tabia za kujificha kwenye dini na tupambanie maendeleo na haki zetu in any way necessary lakini I can tell you for a fact tayari unaishi jehanamu ya Duniani.Shetani hajawahi kumshinda Mungu , hata Jiwe alidhani ile ndio dawa , matokeo yake ikambabua mwenyewe , huenda kesho kutwa ukawa wewe , maana Mungu hataniwi .
Lema baana una mambo 😂😂Katika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwe Ben Saanane ambao hawajulikani walipo hadi leo , anasema katika hali hii awezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
Naongeza mwamba anasema , matokeo ya urais lazima kutangazwa kwenye gazeti la Serikali, mfano matokeo ya uchaguzi kuanzia 2005 mpaka 2015 yapo kwenye Gazeti la serikali ,ila ni 2020 tu hayapo , anasema maana yake ni kwamba serikali iliyoingia madarakani 2020 hakuchaguliwaKatika Mkutano wake Mkubwa wa hadhara wa Morogoro Mjini leo hii , ambao bila shaka umevunja rekodi ya Mahudhurio , Pamoja na Mambo mengine Tundu Lissu anahoji anayebandika mabango nchi nzima yakiwa na picha yake na ya watu wengine kwamba eti wamepatanishwa , amehojiwa kamavwamepatanishwa , wamepatanishwa na nani ?
Anadai kwamba hizo ni propaganda za kichovu , na kwamba anawezaje kupatanishwa huku kukiwa na watu waliouawa , kutekwa na kuumizwa na habari hadi leo hazijulikani ?
Akiongea kwa uchungu , Lissu anadai yeye mwenyewe alitandikwa risasi na hadi leo hakuna yeyote aliyekamatwa , anawezaje kupatanishwa na watu wa aina hiyo , anadai sasa hivi anaitwa CHIBA kutokana na majeraha ya wauaji wake (kwa wasiolewa chiba ni lugha ya mjini ikimaanisha mlemavu wa mguu) ,
amezungumzia kupotezwa kwa watu wengi sana akiwe Ben Saanane ambao hawajulikani walipo hadi leo , anasema katika hali hii awezaje kupatanishwa na waliokuwa madarakani unyama huu ukitendwa ? kwamba ambaye hayupo miongoni mwa watenda unyama huo ni mmoja tu , lakini wengine wote bado wapo , hapa unapanishwaje ?
Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.
SubutuMvuto umepungua. Hana mvuto tena. Asome alama za nyakati.
Point yako ni nini? Kama mwisho wa siku wote tutaondoka. Tofauti ni muda tu.Ukiona unafurahia au unapenda watu wengine kuuawa ujue shetani anakuandalia safari yako. Hawataondoka unaotaka waondoke, utaondoka wewe.
Aliyemtengua kiuno keshaoza ujue hilo, so hata wewe na jeuri yako huijui kesho yako ungepunguza kiburi tuHuyu wamemtengua kiuno amekuwa kama wewe wanawake nyie
USSR
Arusha ndio nyumbani kwa Mbowe, Mtei na Lema!Lissu anadai Arusha ndio mkoa unaoongoza kwa Mabango ya uongo yaliyopachikwa upatanishi , huku sisi wengine tukidhani lengo lao ni kudanganya watalii ili waone nchi sasa iko shwari.