Morogoro: Tundu Lissu awasha moto, ashangaa mabango ya kupatanishwa yaliyobandikwa nchi nzima

Mpuuzi sana Lisu sasa anataka wafufuliwe ndio wapatanishwe, hapa anataka alipwe tu akimbie tena zikiisha aje na jipya , huyu dawa yake ilikuwa ile ile tu

USSR
Kwani unadhani hata sasa hivi atakaa siku ngapi labla hajaenda Ulaya kueleza matumizi ya pesa aliyopewa ili achotewe nyingine? Fuatilieni tu. Ndio maana iwe nini au nini ni lazima agombee urais kwa sababu fungu ni kubwa. Hata CHADEMA wakisema hawagombee urais kwa hakika Lissu atagombea ili achukue lile fungu kutoka Ulaya
 
Tanzania kwa sasa hatuna upinzani tuna upinzani wapiga dili.
Tundu Lisu pekee si mtu wa kuramba asali, Tanzania labda ktk vyama vipya 6 vilivyopata majuzi usajili wa mda kimojawapo kitaweza kuleta ushindani kwa CCM na si hivi vicoba vya vidole juu na Zambarau.
Wewe huna tofauti na mbwa mwanangu
 
Jina huwa linaumba, misalaba sio jina zuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…