Morogoro: Watu 22 Wamefariki dunia kwenye ajali ya Basi la Ahmed linalofanya safari kati ya Tanga-Mbeya. Limegongana na Lori

lile shetani lilokufa nasikia lilikataa kuipanua
 
Yaan Dereva Aovertake Bodaboda kisa ni left hand asione Mbele?? Serious? Yaan bodaboda imemzuia Dereva asione mbele ryt?
Hapo kuna uzembe na moja ya Uzembe ni Maamuzi. Kutokufanya Maamuzi sahihi kwa wakati sahihi.

Pili tunarud katika Imani... Ni kwamba Mwenyezi Mungu kapanga hilo litokee...
Pole kwa ndugu na Jamaa na sote tuendelee kuwa Makini kisha tutangulize Maombi.
 
Basi lilikuwa linatoka Mbeya linakwenda Tanga na siyo Dar es Salaam.
 
Acha usukuma gang mkuu, hii ni habari ya msiba, jaribu kujiheshimu basi
DUH kumlimiki smart phone hakukufanyi ukawa na reasoning kumbe? Umeshindwa hata kujiuliza msiba umesababishwa nini? Nadhan ungepaza sauti sauti kuhusu uzembe wa medreva unaomaliza maisha ya watanzania. Juzi kuna ajali imetokea sijui Songwe au Songea sababu unaambiwa dereva alikuwa ana overtake gari ikapoteza muelekeo, ikafuatia Tanga gari imeharibika njiani coaster imetoka huko speed anasimamishwa badala ya kusimama kaongeza mafuta gari ikaenda ikasomba watu waliojitokeza kutoa msaada kwa ile gari iliyokuwa imeharibika. Hiyo hapo unaambiwa dereva wa HOWO IT alikuwa anajaribu kuipita pikipiki kaingia upande ambao siyo wake kagongana na basi.
Kwa akili yako hujaona shida iko wapi? wewe miongoni mwa wapuuzi wachache ambao ajali ikitokea badala ya kutafuta chanzo unasema ilipangwa na Mungu, hakuna ajali inayopangwa na Mungu hata moja. Get up your mind you a** h**le
 
katika jambo ambalo limenishangaza ni hili, marabkumi wangesema ame overtake kwenye corner.

ngoja tusubiri report ya afisa usalama barabarani.
 
Hilo bus huwa linakimbia sana kuna dereva wake anakula kitu kama ugoro
 
Wakifutwa kazi ndiyo itasaidia nini. Vitendea kazi na mifumo iboreshwe. Huoni ajabu kwanini inashindikana kuweka tochi usiku barabarani
Hayo mabasi yana mwendo mkali sana, nimpanda mara nyingi, tulishauri mabasi yafungwe tacomita ingesaidia sana kumonita mienendo ya uendeshaji, isitoshe hiyo njia yote huwa hayasimamishwi na traffic, wakikutana wanapungiana mikono tena yanakuwa kwenye speed beyond 50 kwenye maeneo ya vibao na ukaguzi
 
Nani mkweli kwenye idadi ya vifo kati ya asemaye 13, 16, 20 na 22
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…