Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu iyo Ahmed ATH waiita ndege ya chini inatembea balaa, kutoka mbeya hua ata kina sauli na newawaoni kitu na inavyotoka tanga hua inazipita hadi bus nyingne za kutoka dar! Iyi impact apo inaonyesha kati ya bus au iyo lorry IT moja wapo ilikua speed kali Sana au zote zilikua mafuta
Ajali zimerudi kwa kasi sana!Toka lini ajali zilikata. Jiongeze.kwani unajuaje kama Kuna ajali bila kutangazwa. Changamsha damu kichwani ndugu
Upumbavu mtupu!Ajali za barabarani hazijawahi kupungua , sema kuna kipindi media zilifumbwa mdomo .
Hatujuani lakini unaniwekea hadi visasi! What an arrogant mindset!Upumbavu mtupu!
Na mkiendelea kutetea huu upumbavu mtachinjwa sana huko barabarani, na zamu yako inakuja.
Ukweli ni kwamba ajali zilipungua sana sababu ya usimamizi mzuri wa mambo ya barabarani, sasa hivi bora liende tu.
Na bado
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Endelea kushangilia ujinga huku ukifikiri unamkomoa Magufuli!Hatujuani lakini unaniwekea hadi visasi! What an arrogant mindset!
Zamu yangu ikifika itakuwa imefika sio kwa sababu umesema weye!
Barabarani hakujawahi kupungua ajali , sema zilipungua taarifa za ajali kwa sababu watu kama nyie mlikuwa busy kushangilia chato projects , na media zikaelekea upande huo
Ukisikia multiplier effect ya udikteta huu ndo mfano halisi , we were so covered , hadi tukahisi tupo peponi , kumbe tupo motoni,
Jinga weweHatujuani lakini unaniwekea hadi visasi! What an arrogant mindset!
Zamu yangu ikifika itakuwa imefika sio kwa sababu umesema weye!
Barabarani hakujawahi kupungua ajali , sema zilipungua taarifa za ajali kwa sababu watu kama nyie mlikuwa busy kushangilia chato projects , na media zikaelekea upande huo
Ukisikia multiplier effect ya udikteta huu ndo mfano halisi , we were so covered , hadi tukahisi tupo peponi , kumbe tupo motoni,
The fools are full of hope , while the elites are full of doubtsJinga wewe
Wewe shule ulienda KUZURURA TU, eeh?Ajali ya Ugonjwa, Mtu ameanguka? Moto, shoti ya umeme or?
What kind of Accident are you talk about?
First thing first barabarani ndo life line yangu , nime invest huko na maisha yangu kwa asilimia kubwa yapo huko, naelewa vizuri majanga ya hukoEndelea kushangilia ujinga huku ukifikiri unamkomoa Magufuli!
Suala la uzembe barabarani linatakiwa kukemewa kwa ukali siyo kuacha mambo yajiendee tu!
Ajali zilipungua sana tena sana,. kwamba zilikuwa zinatokea alafu watu hawatangazi hayo ni madai ya kipumbavu sawa na yale kwamba umeme ulikuwa unakatika ila wanaficha!
Endelea kutetea ujinga soon utasomwa humu kwamba ni miongoni mwa watu kadhaa waliokufa kwa uzembe wa barabarani.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app