kwaku the traveler
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 218
- 586
Ungeandika vigwaza afu na mji ingeleta maana, kwahyo watu waje na thread zao humu waandike miji midogo afu uwape watu shida ya kuijua ipo wapi ni ujinga kama hamjui hata namna ya kuandika kaa kimya siyo lazima kupost humuAchana naye huyo asiyepajua vigwaza muulize mizani iliyokuwa mail Moja kwasasa Iko wap kama hajui basi hawezi kupajua vigwaza ,huko kwenye nyama za mbuzi Wala usimpeleke tu atakwambia Hata vingunguti zipo. Japo hajui utofaut wake.
Funga domo my sisterNdo wapi huko vigwaza/vigwanda 🤒🤒🤒
Vigwaza wanajulikana sana mpaka sisi wa mikoani tunapajuaVigwaza ndio kitu gani? Taja sehemu popular au mji wa karibu na vigwaza hilo yaani sawa niseme hapa Kuna ajali mkululu wewe utaelewa
Ivi kwa nini umasikini na hasira ni vitu ambavyo huwa vipo karibu sana?? 🙂🙂Funga domo my sister
Vigwaza ni sehemu inayojulikana vizuri sana. Sasa wewe sehemu usiyoijua unaona kama sio maarufu😂😂Vigwaza ndio kitu gani? Taja sehemu popular au mji wa karibu na vigwaza hilo yaani sawa niseme hapa Kuna ajali mkululu wewe utaelewa
Punguza ujuaji father. Mbona habari Ina eleweka.Sasa wewe si ndio wa kutujuza mkuu,sisi tungejuaje bila wewe kuleta hili humu?
Ni vyema sana uweke kitu kilichokamilika,hakuna mashindano ya kupost humu
Tunazungumzia ajaliIvi kwa nini umasikini na hasira ni vitu ambavyo huwa vipo karibu sana?? 🙂🙂
Vigwaza ni popular sana ndo kulipo mzani mkubwa wa magari ya mizigo, wewe utakua wa mkoa ndo maanaVigwaza ndio kitu gani? Taja sehemu popular au mji wa karibu na vigwaza hilo yaani sawa niseme hapa Kuna ajali mkululu wewe utaelewa
mkululu iko masasi njia ya kwenda newala unaweza kuingilia lulindi au nanjota.Vigwaza ndio kitu gani? Taja sehemu popular au mji wa karibu na vigwaza hilo yaani sawa niseme hapa Kuna ajali mkululu wewe utaelewa
Inaelewekaje sasa,we umeelewa nini?Punguza ujuaji father. Mbona habari Ina eleweka.
Salamaleko.
Yeye kaja kuuliza na sio kutoa taarifa kama unavyofikiriInaelewekaje sasa,we umeelewa nini?
Sasa sisi tutajuaje si angemuuliza aliyemskia ndio ingekua rahisi zaidi au?Yeye kaja kuuliza na sio kutoa taarifa kama unavyofikiri
Kama hupajui si lazima ujue! Kwa mtu yeyote anayetumia barabara ya Chalinze kwenda Dar Vigwaza ni kituo maarufu sana.Vigwaza ndio kitu gani? Taja sehemu popular au mji wa karibu na vigwaza hilo yaani sawa niseme hapa Kuna ajali mkululu wewe utaelewa
Nimekumbuka bandiko lako hali kwa sasa ni mbaya sana ukitoka na kurudi salama unashukuru Mungu.Kama ni kweli hizi ni habari mbaya sana
Inasemekana na nani?huo muda iliposemekana kwa nini usingehoji zaidi kabla hujakimbilia Jf kupost kitu nusu.Inasemekana kuna ajali imetokea Vigwaza ikihusisha bus dogo Coaster na kuua watu wengi, wenye taarifa zaidi tuambizane
Kabisa mkuuThis is December,tuwe makini madereva,tumtangulize Mungu katika kila safari..
Kwa mumeoNdo wapi huko vigwaza/vigwanda 🤒🤒🤒
pale vigwaza ni njia panda ya kwenda bandari kavu kama na hapo hapajui huyo hayupo TanzaniaWewe ndo huelewi wataalamu wa miji wameshaelewa vigwaza ni wapi. Vigwaza ni popular sana Kwa mnada na nyama ya mbuzi