4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hivi mbona idara ya afya huwa hawafanyiagi mambo haya ? Why Walim daily, aisee shida nini kwa walimHii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Halafu kuna fala mmoja humu ndani utasikia anammwagia sifa mama, eti watu wanabubujikwa na machozi ya furaha.Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!
Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee
View attachment 3062888
Sio NHC Tu peke yake taasisi zote za serikali hapo Moro mameneja wamewapiga wafanyakazi Wao wa chini mfano tenesco, NIDA, moruwasa etc,Nipo na Wafanyakazi wa NHC wanalalamika maboss wamejilipa posho wao hawana kitu chochote cha kufurahia ujio wa Mama.
Jana familia yako imelala njaa kwa sababu hela umemalizia kwenye pombe, na haukulia.Nakulilia Tanganyika
Kwani tumebisha basi?Jana familia yako imelala njaa kwa sababu hela umemalizia kwenye pombe, na haukulia.
Waacheni wakamuone mtumishi namba moja anawapa maelekzo gani, wanafunzi wakamuone kiongozi wao anayewapa elimu bure
Tena hizi picha ndiyo zimekuumbua kweli kweli uki zoom utaona wengi ni watoto, aibu yenu hii na siasa zenu za hadaa na ulaghaiKweli mmechanganyikiwa kabisa .ni wapi palipoandikwa shule kufungwa? Mafuriko ya mama yamewavurugeni akili kabisa Ma CHADEMA View attachment 3062924View attachment 3062925
Lucas Mwashambwa Njoo huku unishawishi kwa hoja mama hakuhusika bali ni uongozi wa chiniAione mluga luga Lucas Mshamba!
๐๐๐Ningeshangaa kama usingekuwa umesema kitu ila leo ni leoKweli mmechanganyikiwa kabisa .ni wapi palipoandikwa shule kufungwa? Mafuriko ya mama yamewavurugeni akili kabisa Ma CHADEMA View attachment 3062924View attachment 3062925
โ
Aise wapenda likizo tunajijua tu ๐Kwanza Watumishi Huwa tunapenda viongozi wa kitaifa waje Kwa sababu tunapata off ila wakija wale wengine Huwa ni hasara hatutoki ๐๐
Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.
Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.
Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)
View attachment 3062618
Mara nyingi kwenye nafasi hizo na nafasi za uDC huwa wanatafutwa wasio na akili, alimradi wawe na uwezo wa kuwa wanafiki.Signature ya huyo mkurugenzi inareflect akili yake
Mbona wewe inaonekana kuwa stupid kuliko wachangiaji wote!!Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.
President is a Head of State
President is a Leader of Executive
CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?
Gen Z always stupid