Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Morogoro: Watumishi wa Umma Walazimishwa kwenda kwenye mkutano wa Rais Samia leo hii

Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Hivi mbona idara ya afya huwa hawafanyiagi mambo haya ? Why Walim daily, aisee shida nini kwa walim
 
Kweli mmechanganyikiwa kabisa .ni wapi palipoandikwa shule kufungwa? Mafuriko ya mama yamewavurugeni akili kabisa Ma CHADEMA
Screenshot_20240805-224054_1.jpg
Screenshot_20240802-154701_1.jpg
 
Hii ndio Taarifa ya Aibu ambayo imetufikia wakati tunaingia mitamboni, tushasema humu mara kadhaa kwamba ccm haina watu, Haiwezekani chama kisababishe dhiki ya kiwango hiki kiasi cha watu kuanza kuvaa viraka halafu kiungwe mkono, Never!

Sasa someni wenyewe hapa ili mjionee

View attachment 3062888
Halafu kuna fala mmoja humu ndani utasikia anammwagia sifa mama, eti watu wanabubujikwa na machozi ya furaha.
 
Nipo na Wafanyakazi wa NHC wanalalamika maboss wamejilipa posho wao hawana kitu chochote cha kufurahia ujio wa Mama.
Sio NHC Tu peke yake taasisi zote za serikali hapo Moro mameneja wamewapiga wafanyakazi Wao wa chini mfano tenesco, NIDA, moruwasa etc,
Kazi iendelee
 
Nakulilia Tanganyika
Jana familia yako imelala njaa kwa sababu hela umemalizia kwenye pombe, na haukulia.

Waacheni wakamuone mtumishi namba moja anawapa maelekzo gani, wanafunzi wakamuone kiongozi wao anayewapa elimu bure
 
Jana familia yako imelala njaa kwa sababu hela umemalizia kwenye pombe, na haukulia.

Waacheni wakamuone mtumishi namba moja anawapa maelekzo gani, wanafunzi wakamuone kiongozi wao anayewapa elimu bure
Kwani tumebisha basi?
 
Tumeanza kupata mwanga kidogodogo.Baada ya Mwambukusi kuja,kiufupi ziara zote za Hawa wasenge wasenge wanalazimishaga watu kuhudhuria mikutano kwa lazima.
Nchi sijui mwelekeo Gani zama hizi.

Aibu aibu aibu.
Isiwe lazima kwani lazima.
Afu na matanzani mengi yalivyo mazombi yaliyochangamka hutasikia yanalikemea hili.
Inshu inatakiwa ianze na watumishi wanaolazimishwa kwanza.

Ila hawajielewi,anahofia kazi.unahofiaje kazi wakati unataaluma.

Au umepazta kazi kimchongo na huwezi kuajiliwa popote😂😂😂
 
Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.

President is a Head of State
President is a Leader of Executive

CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?

Gen Z always stupid
 
Watumishi wa umma manispaa ya Morogoro wameamriwa na mkurugenzi kwenda kwenye mkutano wa hadhara wa mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Waalimu wa shule za kutwa wameambiwa wawaruhusu watoto saa 4 asubuhi kisha waende uwanja wa Jamhuri, wakuu wa shule watatakiwa kuchukua rokoo ya waalimu walio hudhuria kisha watakao kaidi majina yao yatawasilishwa kwa mkurugenzi wa manispaa.

Hii ni barua tuliyopewa (wakuu wa shule) kisha tumepigiwa simu kuhesabu watumishi walio chini yetu na kuwasilisha majina ya watakao kaidi.

Mimi ntawashughulikia watakao kaidi kulinda kibarua changu. Nakupenda sana mama yangu Samia (kwa sauti ya kinafiki)

View attachment 3062618
Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.

President is a Head of State
President is a Leader of Executive

CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?

Gen Z always stupid
 
Mwanzisha mada is stupid hajui hata Government inavyoendeshwa.

President is a Head of State
President is a Leader of Executive

CEO amekuja kwenye Department yenu msiendeke kwenye kikao?

Gen Z always stupid
Mbona wewe inaonekana kuwa stupid kuliko wachangiaji wote!!
 
Back
Top Bottom