Ana Bachelor degree ya EducationHuyu Juma Aweso ni mkurupukaji kweli. Ikute kasoma sociology. Maana mwanaume kusoma sociology inahusu....
Hata Lisu alipoambiwa ukweli kwamba anasaliti nchi kwa kututisha tutashitakiwa MIGA alichukia sana.Huyu bado anaogelea kwenye fikira za Jiwe. Taratibu za discipline ya watumishi kazini zinasema hivyo? Sawa wanaweza wakawa wana makosa lkn utaratibu umefuatwa?
BA au BSc?Ana Bachelor degree ya Education
Ni BABA au BSc?
Sio sahihiAna Bachelor degree ya Education
Mkuu unaelewa maana ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi kwa mtumishi huwa inakuwaje?Ni swala la kusubiri tuone kama wamefukuzwa kwa haki ama Lah!!
Shida tokea kitambo alafu huo mkoa typhod nje njeKiukweli Morogoro maji ni shida
Kuna Advanced Dip ya Education?BSC Chemisrty
Morogoro, MORUWASA, BONDE, wanahitajika darasa la 7, kina Musukuma wakisaidiana na askofu Rashid, kutatua matatizo ya maji.Kiukweli Morogoro maji ni shida
Shukrani kwa masahihisho.BSC Chemisrty
Nili overlook Mkuu, nilipitia website ya Bunge kitambo kupata taarifa za baadhi ya Mawaziri.Sio sahihi