Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Huyu aweso ni katika mawaziri vichefuchefu anapenda sifa Sana na hata ukimsikiliza anavyoongea utagundua kuwa upeo wake ni mdogo Sana alipata bahati tu Yani hata hapo amefika hapo kibahati bahati tu ni waziri mzigo.