Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 43,233
- 51,648
Zaidi ya yote,
- Yule Mkurugrnzi alikuwa ni Mungu mtu, muda wote yupo busy na simu ofisini, haendi site kuona wanachofanya watendaji wake
- Watendaji wake ni vishoka,
- Mamlaka inaingia mikataba na makampuni yanatekeleza mradi wa maji bila Mkurugenzi kwenda kukagua, mfano mzuri ni ujenzi wa mradi wa usambazaji wa maji eneo la Kihonda Kilimanjaro, wamegawana pesa mradi haujakamilika, Mkurugenzi mwenyewe analalamika, wahandisi wanalalamika na hata wakandarasi wanalalamika, hapa Waziri unda tume ya uchunguzi
- Waunganishaji maji ni wapiga dili wala rushwa, mtu anatuma maombi ya kuunganishiwa maji leo kesho anapata maji, yule aliyetuma maombi mwaka juzi hajapata maji
- Mainjinia hawana hata ramani za maeneo wanayofanyia kazi
- Mabomba wanayonunua yanauzwa kwa wauza mabomba walewale
- Watumishi wa hiyo mamlaka wanashindana kupiga madili wananchi wanalalamika kutofikishiwa huduma kwa haki,