Waziri wa madini
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 373
- 467
Jamaa hamna kitu sema sinaujua anatokea pangani Kule hadi mwenyekiti wa Chama wa wilaya ni mganga wa kienyeji.Wale wazee wanapiga pwani na bara miti na vitabu.Bila ndumba na kumsaidia mwenda zake kumpeleka kwa mafundi asingekuwepo hapo.Yeye na Naibu Waziri wake wanashinda kusimamisha kazi Wahandisi wa Maji kila wanapokwenda, itafikia wakati watawamaliza wote😜🙆
Hana ubunifu,na ufumbuzi wa matatizo ya maji anakimbilia kutafuta kiki za kusimamisha watumishi majukwaani kinyume na taratibu za kiutumishi.!!Huyu aweso ni katika mawaziri vichefuchefu anapenda sifa Sana na hata ukimsikiliza anavyoongea utagundua kuwa upeo wake ni mdogo Sana alipata bahati tu Yani hata hapo amefika hapo kibahati bahati tu ni waziri mzigo
Kumbe alikuwa kwenye kamati ya Ufundi ya Kitaifa?😀😀Jamaa hamna kitu sema sinaujua anatokea pangani Kule hadi mwenyekiti wa Chama wa wilaya ni mganga wa kienyeji.Wale wazee wanapiga pwani na bara miti na vitabu.Bila ndumba na kumsaidia mwenda zake kumpeleka kwa mafundi asingekuwepo hapo.
OkNili overlook Mkuu, nilipitia website ya Bunge kitambo kupata taarifa za baadhi ya Mawaziri.
Shuktani kwa kunisahihisha 👏👏👏
🙏🙏🙏Mji wa Morogoro una uhaba mkubwa wa maji kumbe watu walipewa nafasi walizitumia kutafuna fedha na kuingia mikataba kinyemela!! Ule mji una vyanzo kibao vya maji lakini cha kushangaza asilimia 15 tu ya wakazi wake ndo wana uhakika wa maji!!!Ajabu sana aisee!! Hongera sana Aweso kwa utumbuzi huu!! Inabidi watu wanapopewa nafasi wazifanyie kazi na sio kuona kama wamepewa kichaka cha kupigia hela.
Wanakaa kumlaumu AwesoSababu ya kusimamishwa kazi imeelezwa hapo , nashangaa watu wanalalamika nn ?
🤣🤣🤣Huyu aweso ni katika mawaziri vichefuchefu anapenda sifa Sana na hata ukimsikiliza anavyoongea utagundua kuwa upeo wake ni mdogo Sana alipata bahati tu Yani hata hapo amefika hapo kibahati bahati tu ni waziri mzigo
Wanalalamika waziri ninmkurupukajiSababu ya kusimamishwa kazi imeelezwa hapo , nashangaa watu wanalalamika nn ?
Hao wamejuaje Kama waziri amekurupuka ?Wanalalamika waziri ninmkurupukaji
Source nadhani ni maji ya Mindu, ambayo hawafanyi treatment inavyotakiwa.Shida tokea kitambo alafu huo mkoa typhod nje nje
Ova