Hapo Ndo updates zinashukaMbona link https://m.youtube.com/channel/UCUzK7v2L8t7qH0mDQ_7CuWg haitupi yaliyojiri
Wanakurupuka sana, maamuzi mengi hawafanyi kwa welediSijui wapo sahihi au ndo
ukurupukaji
Kuzaliwa '85 mar' na kufaulu elimu ya sekondari '94'! Hii imekaaje hii?BSC Chemisrty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Juma Aweso ni mkurupukaji kweli. Ikute kasoma sociology. Maana mwanaume kusoma sociology inahusu....
Muongo huyo.Hizo za CV bungeni nyingi ni waongo.Kuzaliwa '85 mar' na kufaulu elimu ya sekondari '94'! Hii imekaaje hii?
Ikumbukwe tu kuwa wengi wamejificha kwa kichaka cha dini...Pole kwa Tamimu daah, mwaka jana tulionana Dodoma kwenye Annual Engineers Day, afu huyu ni mtu wa dini sana tulisoma wote Azaboy
Sasa ninadhani nimeelewa kwann alipata huo Waziri.Jamaa hamna kitu sema sinaujua anatokea pangani Kule hadi mwenyekiti wa Chama wa wilaya ni mganga wa kienyeji.Wale wazee wanapiga pwani na bara miti na vitabu.Bila ndumba na kumsaidia mwenda zake kumpeleka kwa mafundi asingekuwepo hapo.