Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Tofauti na "Ngozi nyeusi" wengi tunavyoamini au kuaminishwa, Hakuna mataifa yenye waarabu yalioyo barani africa hupenda kutambuliwa kama waafrika.

Haya mataifa hutumia uafrika tu pale kwenye maslahi Yao Fulani Fulani nyeti, Lakini ukweli wanajisikia KINYAA kujitambukisha ni Waafrika.

Mafanikio ya Waafrika kwenye World Cup yaliishia kwa Wasenegali na Wacameroon. Hawa Wa Morroco tuna "jigonga" tu kwao kama demu anayejigonga kwa mwanaume asiyemtaka.

20221214_082422.jpg
 
Tatizo linaanzia sisi waafrika wenyewe hatujielewi.. matatizo kibao, kila sehem tunaharibu sio kwenye Afya, Uchumi, Uongozi, Usafi, Uwekezaji, Siasa nk.

Yaani tuko vurugu vurugu tu.. Tuanze kujiweka sawa sisi wenyewe then thamani yetu tutaipata.
 
Mkuu hamia Morrocco kwa wa Africa wenzio wenye asili ya ki Arabu.

Mnazingua na nyuzi zenu za kibaguzi.

Tunachokijua.
 
Utaamua ushabikie morocco eti ni timu ya Africa ila haina mchezaji hata mmoja mweusi au France ya ulaya yenye weusi akina mbappe na wenzie
HARUSHABIKII TIMU SABABU YA RACE YA WACHEZAJI AU TAIFA

.. KILA MTU ANA TIMU AIPENDAYO.

Kuna wanaoshangilia Morocco sababu wanatokea ukanda wa CAF.

Kuna wanaoshabikia Morocco sababu wanapenda mabadiliko kwenye Soka, kuna wanaochukulia ushindi wa morocco kama chachu ya kuongeza idadi ya timu tokea bara la africa kwenye WC.

Lakin siyo lazima, unaweza shangilia timu yeyote. Wengine harukushangilia Senegal wala Cameroon tulikuwa na Brazil tu .

Wengine wakawa Ureno na wengine Argentine , sababu ya CR na Leon. Reasons zipo nyingi.

KATIKA SOKA HAKUNA HUO UJINGA AISEE!!...
 
Hii ni jf, uwanja huru kuongea, chagua upendacho na upendalo,

Sie wengine ni wapenzi watizamaji tukiwatizama mnanyojikomba kwa hao waarabu, tangu lini mwarabu akampenda mweusi?
 
Tofauti na "Ngozi nyeusi" wengi tunavyoamini au kuaminishwa, Hakuna mataifa yenye waarabu yalioyo barani africa hupenda kutambuliwa kama waafrika.

Haya mataifa hutumia uafrika tu pale kwenye maslahi Yao Fulani Fulani nyeti, Lakini ukweli wanajisikia KINYAA kujitambukisha ni Waafrika.

Mafanikio ya Waafrika kwenye World Cup yaliishia kwa Wasenegali na Wacameroon. Hawa Wa Morroco tuna "jigonga" tu kwao kama demu anayejigonga kwa mwanaume asiyemtaka.
View attachment 2446133
Sawa tufanye ni waarabu,mbona hao waarabu wenyewe hata robo fainali hawakufika?spirit ya uafrica ndio imewafikisha Morocco pale walipo....
 
Si morocco tu hata tunisia, algeria, misri na libya ukiongeza na sudani ya kaskazini hao ni waarabu typically ndio maana wapo kwenye umoja wa nchi za kiarabu. Kama si bahari ya mediterania hizo nchi zisingekuwepo kwenye ramani ya bara la afrika. Sura ya ramani ya afrika ukiondoa hizo nchi za kiarabu itaonekana bara la afrika ni dogo. Ukweli hizo nchi ni za kiarabu daima
 
Ahh iyo ni AFRIKA no MATTER what, cc waafrika ndo wakuungana sio kujibagua bagau cjui wamoroko wasenegali wacameroon haina maana kabisaa,
Africa 2simame pamoja
[emoji1421][emoji1421][emoji1421]
 
Utaamua ushabikie morocco eti ni timu ya Africa ila haina mchezaji hata mmoja mweusi (na hawapendi watu weusi wala hajakubali bado kwamba wako africa) au France ya ulaya yenye weusi akina mbappe na wenzie
Uafrika siyo weusi wa ngozi,muwe mnajielimisha na kutafakari,afrika ni Bara,humo Kuna waafrika wenye ngozi nyeusi na waafrika wenye ngozi nyeupe/angavu
 
Hao ni waarabu wanaoishi Afrika na sio waafrika, hata tabia na maadili yao sio ya kiafrica. Hata watawala wao awawatawali kwa mifumo SAwa na watawala wa kiafrica, Thus wananchi wao awaisomi Sana number
 
Back
Top Bottom