Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

Afrika ni Bara na si rangi ya ngozi, Gaddafi alikua anatoa sehemu kubwa ya bajeti AU na pia alipambana kuliunganisha Bara,waarab wa afrika ni waafrika wenye asili ya kiarabu
Alijaribu kuwaunganisha waarabu akashindwa akaamua kuwekeza nguvu africa alikuwa akiwaita na kuwagawia bahasha.
 
Uafrika siyo weusi wa ngozi,muwe mnajielimisha na kutafakari,afrika ni Bara,humo Kuna waafrika wenye ngozi nyeusi na waafrika wenye ngozi nyeupe/angavu
Usitudanganye bwana muafrika ni mtu mweusi.Mkishasomaga na vidigirii vyenu kila kitu mnakipambapamba.
 
Uafrika siyo weusi wa ngozi,muwe mnajielimisha na kutafakari,afrika ni Bara,humo Kuna waafrika wenye ngozi nyeusi na waafrika wenye ngozi nyeupe/angavu
Acha kuongea pumba mzee u Africa ni ngozi nyeusi NDIO MAANA french Montana ni mmoroco ila SABABU ni mwarabu hawezi itwa AFRICAN AMERICAN ILA LUPITA NYONG'O AU IDRIS ELBA NI AFRICAN AMERICAN BECAUSE OF COLOR
 
Bara la weusi lililoingizwa waarabu kimchoro uitwao ramani.
Afrika imetoholewa toka neno aprika la kilatini lenye maana ya nchi isiyo baridi/nchi ya joto,Wala Haina maana ya nyeusi,na walatini wakifika afrika kaskazini,Wala hawakufika Tanganyika au kwa weusi wengine,Kuna jina jingine la afrika kabla ya kuitwa afrika,jina Hilo likitumika na waarab,waethiopia na wanubi, nimesahau,lakini waweza lipata ukilitafuta
 
Acha kuongea pumba mzee u Africa ni ngozi nyeusi NDIO MAANA french Montana ni mmoroco ila SABABU ni mwarabu hawezi itwa AFRICAN AMERICAN ILA LUPITA NYONG'O AU IDRIS ELBA NI AFRICAN AMERICAN BECAUSE OF COLOR
African American si wanaita malayman wenzio,na wanaita siku hizi kukwepa neno negro/nigga,hawakuwa wakiitwa African American hao,martin Luther king hakuwahi kuwaita wenzie African American Bali negros au blacks
 
Ivi unajua maana ya LAYMAN?HAUJUIA KWAMBA ATA MUUZA GENGE WE UNWEZA UKAWA LAYMAN KWAKE ....ILA ALL IN ALL HAO WAMOROCCO WALIZINGUA NDIO WAZUNGU AMBAO NI WEUPE KULIKO WAO WANAWABAGUA
 
Acha kuongea pumba mzee u Africa ni ngozi nyeusi NDIO MAANA french Montana ni mmoroco ila SABABU ni mwarabu hawezi itwa AFRICAN AMERICAN ILA LUPITA NYONG'O AU IDRIS ELBA NI AFRICAN AMERICAN BECAUSE OF COLOR
Kuongezea elimu neno afrika ni la kigiriki,a-phrike lenye maana isiyo baridi/nchi ya joto(Leo africanus) lakini kabla wagiriki hawajaita hivyo Bara letu palikua na jina likitumika na jamii nyingi kuliita Bara hili,waliliita alkebulan(mother of mankind) jina hili likitumika na moors, Nubians,Numidians,Carthaginians na Ethiopians..so neno afrika halina uhusiano na rangi ya ngozi nyeusi
 
Ivi unajua maana ya LAYMAN?HAUJUIA KWAMBA ATA MUUZA GENGE WE UNWEZA UKAWA LAYMAN KWAKE ....ILA ALL IN ALL HAO WAMOROCCO WALIZINGUA NDIO WAZUNGU AMBAO NI WEUPE KULIKO WAO WANAWABAGUA
Kuna wauza genge Wana bachelor... Morocco hawajazingua,wanapambania nchi ya kwanza,Kisha waarabu Kisha afrika, simple
 
Afrika imetoholewa toka neno aprika la kilatini lenye maana ya nchi isiyo baridi/nchi ya joto,Wala Haina maana ya nyeusi,na walatini wakifika afrika kaskazini,Wala hawakufika Tanganyika au kwa weusi wengine,Kuna jina jingine la afrika kabla ya kuitwa afrika,jina Hilo likitumika na waarab,waethiopia na wanubi, nimesahau,lakini waweza lipata ukilitafuta
Huo mtohoo baki nao wewe kila zama zinapojongea maneno na lugha hutanuka na kueleza mambo kwa utofauti na maana zingine.Baada ya kutoholewa maana imekwenda na mabadiliko.Mwafrika ni mtu mweusi, mada yangu ya mwisho nawe elimu peleka udsm
 
Hakuna shida,Kaa na ujinga wako
 
Bas
Mentality zile zile za kibaguzi. Aliyekuambia uafrika ni kuwa mweusi ni nani?
Basi tuache kutaja Afrika,tutaje watu weusi. Wazungu huwa wanathamini watu weusi kuliko waarabu wanavyotuona. Mtu mwenye utimamu hawezi kuacha kuishabikia Ufaransa halafu akaishabikia Morroco
 
Back
Top Bottom