Morocco wametia kinyaa kwa kunyanyapaa watu weusi walioko kwenye bara wanaloishi na Mungu akaonesha utukufu wake wakachapwa bakora mbili bila majibu wakaambiwa haya we mtoto unafanya nini hapa usiku huu kimbia kule ukakojoe ulale!
Mungu aliumba anavyotaka, hakupanga madaraja ila watu duniani wakatengeneza mifumo na kuilazimisha mf mtu mweupe ni bora kuliko mweusi, watu weupe wakatawala watu weusi kwa bunduki na dini yao na watu weusi waishio Africa wakakubali unyonge na kuuendeleza. Hata viongozi wao isipokuwa Nyerere na Magufuli tu nao wakakubali unyonge na kuwaibia wenzao.
Historia ya Morocco world cup imeishia hapo na hawatapewa tena hiyo chance kufika nusu fainali maana timu za ulaya ziliwa - underestimate!mtu mweupe huwa hakubali unyonge ndio maana Ronaldo alilia sana kutolewa na mabedui akiamini wako chini yao kisoka ila maafrika yote meusi ya Senegal, Ghana na Cameroom hakuna hata chezaji moja lililia kwa kutolewa!! Yote yaliona fresh tu kurudi zao klabuni ulaya na ma head phone makubwa kichwani!!)
Watu weusi viongozi wetu wengi ni wapumbavu na ndio wanaosababishwa tutukanwe duniani hatuna akili maana yanawaza kuiba tu na si kuendeleza nchi zao, Nigeria wana mafuta kuliko Qatar, ila Qatar ni matajiri kuliko Nigeria!
Maviongozi yetu hayana akili yanakata umeme ili kuuza majenereta na solar na kuua uchumi na ona sasa Morocco wanatuona Manyani tu!! Reli SGR inasua sua , bwawa la Nyerere haliishi maana Magufuli hayupo basi waarab na wazungu wanaona watu weusi wa Afrika ni masokwe!
Kama Mungu yupo kwa mujibu wa vitabu vitakatifu basi maviongozi mengi ya Afrika yenye ugonjwa wa matumbo makubwa (obesity) basi yakifa makazi yao itakuwa Jehanam wakiwa na mashetani na ibilisi