Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

Morroco ni Taifa la Kiarabu linaloishi Afrika

Tueleze ww uafrika ni nn?

Siyo kila muAfrika ni mweusi, lakini kila mtu mweusi kama wewe ni muAfrika. Refer the song of P. Tosh. No matter where you come from so long as you are a black man you are Afrikannnnn.
 
Aisee!
Heshima kwako mkuu. Sijui wadau wameiona comment hii au wanapita tu?!!! Nilifikiri imekuja baadae lakini naona imetumwa saa 3 na dakika moja......muda ambao ndo kwanza mechi ilikuwa inaanza.
Bahati mbaya nikibet naliwa mkuu.
Hata ya Argentina niliandika humu kua anashinda.
 
Back
Top Bottom