Siyo kila muAfrika ni mweusi, lakini kila mtu mweusi kama wewe ni muAfrika. Refer the song of P. Tosh. No matter where you come from so long as you are a black man you are Afrikannnnn.
Aisee!
Heshima kwako mkuu. Sijui wadau wameiona comment hii au wanapita tu?!!! Nilifikiri imekuja baadae lakini naona imetumwa saa 3 na dakika moja......muda ambao ndo kwanza mechi ilikuwa inaanza.