Moscow ndani yapokea kipigo kingine cha drones za Ukraine, imekua matukio ya kila siku sasa

Moscow ndani yapokea kipigo kingine cha drones za Ukraine, imekua matukio ya kila siku sasa

Makubaliano ya hii vita si yalikua ni hakuna kushambulia ndani Urusi? Sasa mbona kama vile Ukraine wanavunja makubaliano?
Yaani Urusi anashambulia Kila Kona Ukraine, halafu Ukraine awe na makubaliano ya kutoshambulia ndani ya Urusi? Mkuu kesho kazi. Punguza Konyagi!!
 
We hivi unajiona bado si chizi tu yani Nato imshinde Mrusi

Urusi imeshindwa kufumua kainchi kadogo miaka miwili sasa, leo hii inachezea kichapo cha defensive, ndio maana nimesema mnaendelea kuchizi maana kama bado mnamtegemea Urusi kubadilisha chochote kwa hako kainchi, basi mtateseka sana.
 
False flag attack ili kuwapa go on Wagner kuichukua Poland
Kisome ulichoandika halaf fikiria mara mbili , unahisi kuna hatua ukraine anafanya Poland wasijue , hao sio kama ww kushabikia mkataba wakati hujausoma
 


Putin ameiripua drone ya US leo na US anabaki kulia lia pale Syria.

Yani huyo Zelenesky yeye hajali Waukraine wafe ameishindwa vita kabaki kutumia vidrone na Mrusi kisha shinda vita.
Ndio maana mnauza bandari , bado mna akili za kitumwa , Ukraine hawana akili hzo , pigania chako kibak salama mavazi ( majengo ) utayapata mengine ila hutopata kitu (ukraine/nchi) nyngne
 
Back
Top Bottom