Russia kaonja magumu ya ISIS, anamsaidia Bashar Al-Assad asiondoke madarakani nchini Syria, sasa wazee wa vipedo wamempelekea vita nyumbani.
Kwa hiyo ulitaka ISIS ishinde?
 
Kwa hiyo ulitaka ISIS ishinde?
Duh hawa vipedo wanashindaje kwa mihemko waliyonayo. Kule Syria kuna makundi mengi ISIS ni mojawapo, lakini kuna kundi linataka utawala wa Al-Assad ufike mwisho hawataki utawala wa kifalme. Wao hawapigani ni yeyote zaidi ya Al-Assad, hao ndio nilitaka wamshinde Al-Assad kibaraka wa Iran na Russia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…