Moscow, Urusi: Shambulio la kigaidi laua Watu zaidi ya 130
Uliona wapi?! Ukraine ilishasema inatumia silaha zake kushambulia kwenye ardhi ya Urusi. Hata hizi oil refineries zinazopigwa kila siku zinapigwa kwa drones wanazotengeneza Ukraine wenyewe.
Silaha zote alizo nazo Ukraine ziwe za kununua au za kutengeneza mwenyewe ni kwa msaada wa wamagharibi.
 
BREAKING:

Ukrainian suicide drones have struck 2 oil refineries in the Samara region of Russia, around 1000 km away from the border with Ukraine.

Russia’s oil and gas industry has been suffering catastrophic damages over the past 2 months.
 
BREAKING:

Ukrainian suicide drones have struck 2 oil refineries in the Samara region of Russia, around 1000 km away from the border with Ukraine.

Russia’s oil and gas industry has been suffering catastrophic damages over the past 2 months.
Naona Ukraine wangesitisha kipigo kwa Sasa Ili urusi apate muda wa kuomboleza na kuzika maiti zake.

This is not fair ☹️☹️
 
Idadi ya waliofariki Moscow yaongezeka hadi kufikia 115.

Screenshot_20240323-163059.jpg
 
Watu 115 waliuawa na zaidi ya 140 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha waliposhambulia ukumbi wa tamasha uliojaa watu eneo la pembeni mwa Moscow, Urusi inasema.

Moto mkubwa uliteketeza paa la jengo hilo na video ya kusisimua inaonyesha watu waliokuwa kwenye tamasha wakipata hifadhi huku milio ya risasi na milipuko ikiendelea.

Rais wa Urusi Vladimir Putin anasema washambuliaji wote wanne wamekamatwa, na kuwa washukiwa walikuwa wakijaribu kutoroka kwenda Ukraine - Kyiv inasema madai ya kuhusika kwa Ukraine ni "ya kipuuzi".
Putin anaita shambulio hilo "kitendo cha kigaidi cha kikatili" na kutangaza siku ya maombolezo ya kitaifa kwa Machi 24.

Wakazi wa Moscow wanapanga foleni kutoa damu kwa waliojeruhiwa na maua yamewekwa kama heshima katika eneo la shambulio.

Marekani inasema ni ya kuaminika kwamba kundi la Islamic State linaweza kuwa nyuma ya shambulio, baada ya kundi hilo kudai kuhusika. Urusi haijatoa maoni.

BBC
===========
At least 115 people were killed and more than 140 injured when gunmen attacked a packed concert venue on the outskirts of Moscow, Russia says

A large fire engulfed the roof of the complex and dramatic video shows panicked concertgoers taking cover as shots and explosions ring out

Russian President Vladimir Putin says all four gunmen have been arrested, and that the suspects were trying to flee to Ukraine - Kyiv says allegations of Ukrainian involvement are "absurd"

Putin calls the attack a "barbaric terrorist act" and announces a day of national mourning for 24 March

Muscovites are queuing to give blood for those injured and flower tributes have been placed at the scene of the attack

The US says it's credible that the Islamic State group could be behind the attack, after the group said it did it. Russia has not commented
 
Hiyo Hali inabidi aishi nayo tu Na aendelee kula mizigo bila wasiwasi.

Aache wasiwasi wa hivyo Na pia akumbuke Jambo la muhimu saaana ya kwamba yeye akienda chooni au sehemu nyingine akikojoa anashusha zip au kufungua kifungo cha pensi au Jinsi Na wala hashushi ili akojoe.

YEYE NI MWANAUME MWENYE KUENDELEZA UKOO.
 
Back
Top Bottom