Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.
huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Kuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]Hii kesi itawafungua macho wengi. Kituo cha polisi TAZARA mkuu wake ana hadhi sawa na RPC . Kuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.
Kwani unadhani Hamza aliwatandika risasi Polisi waliomdhulumu? Polisi wema ni wachache sana.Tangia walikuja kwangu kukagua sjui vinini saabu ya mume wangu wakaiba kasimu ka torch na viatu vya Mr hata sinaga imani na hao watu sjui nawaonaje! ( sio hao kwenye kesi ila ni polisi wenzao dah nlichoka)
Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.
huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
ndefu na Juu alikuwa amevaa Combat lakini siyo ya kitanzania
Nikamwambia Mimi nimekamatwa na tumeletwa hapa sijui ni Wapi
Akaniambia "Hapa ni Tazara Kituo cha Polisi"
Wakati naongea na Yule mrangi kuna mwingine akajitokeza kijana Mweusi, nikawambia nimeletwa hapa lakini Mimi nilikuwa ni Askari
Yule akijana Mweusi akasema Vipi MIC? MIC ni neno la Kijeshi
Nikamwambia Mbona wewe upo hapa.?
Akaniambia Mimi ni Askari nilikuwa naswali kwa Azizi Ally kambi yangu ni Twalipo
Alipokuwa amepaki Pikipiki nje akiwa anaswali ndani, wakamsubiri atoke wakampini wakamleta Tazara na akasema yupo Tazara kwa Miezi nane.
Nikamuuliza shida nini.?
Akasema wanaoletwa hapa ni Kesi za Kigaidi.
Shahidi: Siku inayofuata nikiwa kwenye Cello siku inayofuata nikasikia Kilio, nikachungulia Kule Nyuma nikaona watu niliiokuwa nao Depo JKT , TPDF na 92KJ Komandoo (Wadepo wangu)
Nilishuhudia Chuma Chugulu na Alex akiwa na Kijitabu na wenzie wakiwa Wanadepo Wenzangu Kupitia Matundu ya Dirisha walikuwa wanamtesa Mtu. Ambapo baade nilimfahamu yule Mtu Kwa Majina anatolewa Kwenye Magari Mabovu alipokuwa anateswa kwa kushikwa na Mtu Mmoja na Mmoja yupo nyuma yake nilimfahamu aliyekuwa anateswa Kuwa ni Dennis Urio ambaye ni Luteni wa Jeshi ambaye alinitafutia hii Kazi ya VIP PROTECTION kwa Mwenyekiti wa Chadema
Mallya: Awali ulisikia Kilio baadae ukaona Mtu Mwenye kitabu na Rungu na baadae Urio anatolewa Kule kwenye Magari Mabovu, kwa aufahamu wako nani alikuwa anateswa Kule?
Shahidi: Kwa nilivyoona Mimi Leteni Dennis Urio ndiye alikuwa anateswa. Siwezi Kuwa na Ukahika nao ila Kama Dakika 15 Mpaka 20
Mallya: Kipi ulitangulia Kuona Kwanza Kati ya Wanadepo Wenzio na baade Askari Polisi na Urio?
Shahidi: Nilishuhudia Alex ndiye wa kwanza Kutoka baadae katoka Chuma Chungulu na Mapolisi wakiwa na Urio
mmmhNa laki tatu ya shahidi wa pili nayo wameinywa
Tumeyasoma maoni yako.Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.
Tumia akili saa ingineJamuhuri inavuliwa nguo
Sasa hayo mambo umeambiwa ni ya lini kama sio awamu ya tano,Hii kesi badala ya kuleta amani uraiani kwa kuwafungia gaidi mbowe na wenzake inakoelekea italeta machafuko nchini, kwa sababu hii kesi inaeleweka ni ya kisiasa, sasa haya mambo ya jeshi la polisi kuanza kuonekana linaua watu litawaletea shida hawa askari huku vituoni kwao mitaani.
huyu mama wa kizanzibar nimeishasema afute hii kesi, haya mambo ya askari kuua watu yalikuwa awamu ya tano huko, sasa hawa kina kingai wanataka kuanza kuyaambatanisha na awamu ya sita.
Polisi wanavuliwa boxerHuko ndiko napataka mimi
Hii fote/40 yao, karagabahoPolisi wanavuliwa boxer
Unaingea na mimi au unaongea na Kingai.Tumia akili saa ingine
Waswahili walinena : yalio baharini yangojwe ufukweni... na hii kesi ya mbowe huenda ikawa chanzo cha mengi kuibukia ufukweni likiwemo lile la maiti ndani ya viroba vilivyookotwa kando ya bahari.Hii kesi itawafungua macho wengi. Kituo cha polisi TAZARA mkuu wake ana hadhi sawa na RPC . Kuna watu wengi sana wame***** pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.
Hili ndilo limenishangaza,inakuwaje source ya tukio la maandalizi ya Ugaidi nae akamatwe ateswe halafu cha kushangaza kwenye kutuhumiwa kesi yeye hayupo lakini kwenye mateso alikuwepo.
Waseme na akina Azory Gwanda wamemfanya nini?Umemaliza lazima Mahita anajua aliko Ben saa8
You never know walimfanya nini hadi kuchukuwa uamuzi aliochukuwa!mahakama inachelewa sana kufanya maamuzi, hapa ndio tunaamua tayari, hawa watu kumbe hamza alikuwa sahihi aisee...
Ipo siku, yanayomkuta mbowe yatakukuta na wewe!Naona unaombea yale aliyotaka kuyafanya Mbowe. Wewe huna tofauti na Mbowe, maana unataka kuleta total anarchy and chaos. Tatizo lako wewe ni muoga. Unataka watu wengine ndiyo wakufanyie huo ugaidi. Kitu kama hicho hakitatokea TZ. Na Mbowe atailamba miaka, huenda akaozea jela. Nasikia jela huko kuna mabauncer, mwambie awe na chupi ya chuma.