Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Kumjibu umepoteza muda wako mkuu...hao vichaa hawajibiwi
 
Kesi isifutwe ili tujue mengi
 
Hakuna cha kunuka wala nini jeshi lenyewe ni sehemu ya CCM
 
Plc wanatesa jw duh cjawai kusikia hii ni dharau
 
Makomambo hao.. Wananikumbusha movie ya first blood ya rambo...
 
Tanzania hakuna separation of power kati ya mhimili wa mahakama na mhimili wa executive.Unaelewa kuwa DPP ni mkono wa Rais katika mahakama?

Katiba tuliyo nayo ni useless na ni ya hovyo sana ndiyo maana tunahitaji katiba mpya.Kwa katiba tuliyonayo kusema kuwa Rais huwa haingilii mahakama ni kujidanganya.
 
hapa serikali nadhani ingeangalia namna sasa, sababu hao jamaa ni makomandoo hii kesi ipelekwe mahakama ya jeshi kwa sababu hii kesi naona inaanza kuwa mtambuka sasa

Sasa hivi ni raia, si wanajeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…