Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

Wakati shahidi namba mbili na mshitakiwa namba tatu Mohammed Abdilah Ling'wenya wa kesi ndogo katika kesi ya Ugaidi inayowakabili kina Mbowe alimtaja Mosses Lijenje kudaiwa kutupwa na polisi wakati akifanyiwa vitisho.

Mallya: Kitu gani Kiliendelea..?

Shahidi: Maaskari wakasema Mwenzenu Moses Lijenje tumeshamtupa, Ameshatangulia huku wakinigusa Kichwani na Kitu nilichokuwa nahisi kuwa ni Bastola, Ukileta Ujanja Ujanja na wewe tunakutupa

Mallya: Maneno haya ulikuwa unaambiwa wakati gani wakati wa Safari au baada ya Kufika


Huyu Moses Lijenje ni nani?

Je yupo wapi?

Je yupo hai?

Je anahusika vipi na hawa makomando?

Je anahusika vipi na hii kesi ya Mbowe?

Shahidi anaposema polisi kudai wameshamtupa wanamaanisha nini?

Hili limeniacha na maswali mengi sana ya kutafakari.
nigaidi
 
Ukifuatilia toka mwanzo Adamo alisema wanapobadilishwa vituo hulazimishwa na kupewa majina tofauti na majina yao halisi so unaweza kukuta huyo Moses lijenje ni katika mlolongo huo
Inamaana katika jeshi la polisi Kuna kitengo Cha Utesaji na mauaji,Basi kwa vile bado kesi iko mahakamani tunaiomba mahakama ufuate muongozo namna ya kuhukumu kesi hii na ushahidi uchujwe vizuri na haki itendeke.
 
Hii kesi inaelekea kubaya Sana wangekuwa na akili wangeifuta. Hebu ona
Lijenje ni komandoo
Nayeye alikuwa ni sehemu ya watuhumiwa
Lakini hatajwi na hawajasema watamleta kwanini ?
Simply wameshamuuwa Yani polisi wamemuuwa komandooo uwiiii
 
IMG-20210928-WA0019.jpg
 
Yapo mengi.

Kumbuka pia tuliambiwa muuza mechi alikuwa ni "poti" - Luteni Urio.

Kumbe Luteni Urio alikuwa ni mmoja wa waliokuwa wakiteswa Tazara na mahabusu pendwa Tazara na pia kule Mbweni.

Kumbe basi hadithi za Kingai kuitwa kwa DCI kuwa Urio alikuwa na taarifa za magaidi zinaweza kuwa ni hadithi zingine kama za sungura na fisi.
Urio hakuwa Komando pamoja na kuwa Luteni ndio maana alitoa chenji mapema baada ya kufinywa
 
Kwahiyo vipolisi vimemuuwa koMandoo wa jw my goodness
Nakuapia hili jambo Litaleta mtifuano kati ya Police force na TPDF. Haiwezekani askari wa jeshi letu Waingie mikononi mwa polisi na kuteswa hadi wengine kufa badala ya kufikishwa katika mahakama za sheria?
Kwanza kama kulikuwa na ugaidi wangepelekwa court Marshall!
 
Kuna watu wengi sana wameuawa pale, natumaini siku moja yaliyopo gizani yatamulikwa.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827]
ku stabilize territory Kuna Mambo mengi kiongozi,tuliyempoteza juz angekuwa na tamaa ya madaraka Sasa hv kingwete ngwete asingekuwepo ,maana alim interfere jamaa kwa kiasi kikubwa,sema tuliyempoteza majuz aliona bora ajitoe yy sucrifice Mambo yaishe!!
 
ku stabilize territory Kuna Mambo mengi kiongozi,tuliyempoteza juz angekuwa na tamaa ya madaraka Sasa hv kingwete ngwete asingekuwepo ,maana alim interfere jamaa kwa kiasi kikubwa,sema tuliyempoteza majuz aliona bora ajitoe yy sucrifice Mambo yaishe!!
Acha uzwazwa wewe masalia ya Kayafa
 
Nawazatu. Itakuwa Moses alimweka roba hatari mahita kias kwamba wenzake wakaona atakata roho wakaamua kumlipua ,maana Naona aligoma kupelekeshwa.
 
Hii kesi isikilizwe kijeshi tu.raia wasiwepo.
Ingawa hao makomando baada ya kutoka jeshini.
 
Back
Top Bottom