Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
20220424_130014.jpg
 
View attachment 2198764
Maji ya kupewa hujui ni masafi au yana mchanganyiko gani kuweka huko, ni ujasiri.
 
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
View attachment 2198764
Dawa na vyakula huwa na aleji kwa baadhi ya watu, hata hivyo alipokea maji hayo kwa hiari na sharti ayanywe yeye akaoshea.
 
Tusubiri kitatokea nini, ila ukweli ni kwamba yeye (muathirika) alikuwa na maamuzi ya kutumia hayo maji au laa. Kwakuwa aliamini na kutumia hapo sioni kesi kwa aliyempatia hayo maji.

🤣🤣, unataka miujiza hadi kwenye mbususu
 
Back
Top Bottom