Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Ya Nini tenaPicha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya Nini tenaPicha
aaah hapana picha ya wapi nawe tulia.Mama kasema kumeharibika sa we mtoto picha ya nini?Picha
Kizazi Cha kishenzi !!Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
View attachment 2198764
Mama kaamuwa kusema mana ameona umri haujamtupa mkono sana.Bora angemuharibu uso kuliko k
Sasa ataishije si atakufa njaa duniani humu??
K iliyo na hitilafu ni sawa na kukatwa mkono.no life at all.
Ndio mbususu moja right off.itakuwa na makovu sasa 😥😥
We Maza comments nyingine waachie watoto. Picha ya wapi sasa?😂😂😂Picha
At fourty five anatafuta kuzaa.Itakuwa alikuwa anatafuta kuzaa. Yaani mtu akiwa anatafuta mtoto hata akiambiwa ale mavi atakula.