Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Maji ya kupewa hujui ni masafi au yana mchanganyiko gani kuweka huko, ni ujasiri.
Ujinga hao ndiyo wale mtu anapikia chumbani anakuchotea chakula unaenda kufakamia tu kama bata
 
Sasa na yeye alikua anaweka hayo maji ukeni ili iweje? Alitaka papuchi ipate baraka iwe na wageni wengi au[emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hakika mkuu!
Jana Jumamosi kanisani kwetu(Wasabato) Ibada wakati wa hubiri ghafla zikasikika kelele za mwanamke nje, aliyepandisha mapepo!( Kawaida kwa Wasabato habari za kupagawa mapepo kanisani na fujo zingine hakuna) basi akapatiwa msaada hapo yakamwacha.. ndipo ktk kuhojiwa anasema Alipewa mafuta ya upako ya Nabii mmoja maarufu!
Kanisani kwao ni fujo, ila waumini wao hizo fujo wanazifuata kwenye makanisa ya kilokole na niwateja wazuri tu huko!
 
Kuna jamaa mmoja kutoka kabila bishi nchini, yeye kapewa mafuta kutoka kwa nabii kaambiwa apake usoni hivi sasa kaungua uso wote ana rangi mbili.
Ndiyo akafuate panga sasa si katoka kabila bishi?
 
Maji ya baraka alitaka yaifanyaje hiyo mbususu? Apendwe zaidi ama baraka gani hizo za mbususu?. Pole yake sana
 
Maji hayo yalifikaje uko sirini? Mwana kulitafuta mwana kuliget .

Hali ni mbaya sana kitaa.
 
Maji ya kuoshea maiti unapoyapaka kwenye naniliu unategemea nini?. Karibia vitu vyote vinavyotolewa kama visaidizi vya imani huwa na madhara. Mungu wa kweli hahitaji usaidizi,yeye amekamilika katika yote.
 
hapo alidanganywa "ukipaka hii jamaa akiingia tu kesho anatangaza ndoa.."
 
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
View attachment 2198764
Serkali haina kazi ss itafute maendeleo na kuhakikisha ulinzi bado kuna mtu anajitakia Mambo yake
 
unapewa maji ya baraka unywe we unaweka kwenye mbususu sasa mbususu inataka baraka gani...?
 
Back
Top Bottom