Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Ujinga tu. Kila siku tunafundishwa na wataalam wa afya kuwa tusiweke chochote sehemu za siri... Kuna watu hawaelewi
huenda hawapati hizo habari,rafiki yangu mmoja ni docta juzi kati kanisimulia mara nyingi wanakutana na wadada wenye papuchi chafu so inabidi wawape elimu ya kusafisha
 
Picha Tafadhali, ili nipate kusoma vizuri nianze na pic kwanza!
 
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
View attachment 2198764
Wewe Dada unapokea vipi maji usiojua kachota wapi kama kachanganya na jiki wewe unapeleka tu kwa bibi? Mambo mengine yakujitakia kuomba omba vitu kwa watu vina madhara kwanini usiyafuate mwenyewe huko alichukua? Pole sana tuwekee na pic kabisa ili tuone kulivyoharibika ,[emoji3][emoji3]
 
Kabla mwenzie hajakamatwa inatakiwa aeleze lengo la kuyaweka sehem za siri lilikuwa lipi? Palikuwa panauma au lah! Kama palikuwa panauma inamaana itakuwa tatzo lilikuwepo tangu mwanzo pengine ndipo lilipofikia, kama tatzo halikuwepo inabid aseme walishauriana nini hadi aweke huko na sio kwingine
 
Back
Top Bottom