Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

Bado habari haijakamilika, hayo maji alikua anayafanyia nini sehem za siri , anaoshea, anapaka, au anafanyaje???

Na lengo la kutumia hayo maji ni nini...??
 
Screenshot_20220424-134522_Instagram.jpg
 
Itakuwa alikuwa anatafuta kuzaa. Yaani mtu akiwa anatafuta mtoto hata akiambiwa ale mavi atakula.
sasa km mtoto mtamu mbona mnatubania mbususu utongoze weeee!!...ulie lie!! mate yakauke mdomoni....tuumwe na mbu...mara tukoswe koswe mapanga ya baba zenu...kuuumbe watoto mnataka.
 
The so called "maji ya upako" yanawaliza wengi mno
 
Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
View attachment 2198764
Yalikuwa maji ya betri ya gari kadanganywa ni ya baraka kumbe yanakwenda kutifua mbususu!!

Siku hizi kuna ka mchezo ka wengine kupaka vimiminika ili kurudisha bikira. Siku supa gluu, maji ya betri, shabu, limau/ndimu n.k zikichanganywa na watafuta fursa, moto utawaka mpaka makalioni.

Tuachane na hayo mambo jamani, ni hatari kwa afya.
 
Huyo kapaka spirit huko chini kababuka tu.itapona aiache kwanza
 
Ila wanawake kwa asilimia kubwa ndio victims wa manabii wauongo. Sijui wanafeli wapi? 😥😥😥
 
The so called "maji ya upako" yanawaliza wengi mno
Hakika mkuu!
Jana Jumamosi kanisani kwetu(Wasabato) Ibada wakati wa hubiri ghafla zikasikika kelele za mwanamke nje, aliyepandisha mapepo!( Kawaida kwa Wasabato habari za kupagawa mapepo kanisani na fujo zingine hakuna) basi akapatiwa msaada hapo yakamwacha.. ndipo ktk kuhojiwa anasema Alipewa mafuta ya upako ya Nabii mmoja maarufu!
 
Kuwa desperate na miujiza kunawaweka kuwa preys rahisi mno
 
Back
Top Bottom