Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake

Mbona wapo wengi tu

Ova
 
Miaka 54 kugombea mali tena mashamba ni tatizo kubwa sana, tena na Bibi wa miaka 74?
 
Maisha magumu wazazi acheni ujinga wapeni watoto wenu mali wakasake life
Ajira hakuna
Unapotaka wazazi wakupe mali wao hizo mali waliziokota?na wewe kwanini usitafute zako leo ukaanze kuwazia mali za baba yako!!!

Zisingekuwepo je,ndiyo maana wazazi wengine wanaandikishia wakfu kwenye nyumba za ibada au vituo vya wasiojiweza pale wanapostukia walizaa watoto matikiti wenye mawazo kama haya.
 
Kweli mkuu tujipange mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…