Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake

Ina sikitisha sana hapa alitaka apewe auze apate pesa ya

kufanya starehe ilihali ni mali ya urithi ambayo pengine yeye sio mtoto pekee yake
labda kuna wadogo zake na mama ana simamia ili mwisho wa siku wote wapate
ila yeye anamuua kwa ubinafsi wake huyo akaozee jela.
 
Aisee
 
Kwakweli ndo tunachokifanya kwa sasa kuwekeza kwa ajili ya watoto...
Ila wakikuta hamna wafundishwe kuridhika na kama hawajapewa basi wajue sio chao bado...
Hapana bwana hii mamboz yenu ya kila mtoto anakuja na baraka zake ni kujidanganya....waridhike kivipi bwana wakati wee mzazi umebugi.
Ndio hiyo unakuta mtoto anaomba soda baba anaanza sema oh huyu anapenda vitamu...sasa mtoto gani hapendi vitamu🤣🤣🤣🤣

Kwa asilimia kubwa mtoto ukimlea vizuri hawezi kufikia hatua ya kuua mzazi....mtoto kuua mzazi chanzo ni mzazi mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…