Moshi: Amuua mama yake wakigombea mali za marehemu baba yake

Kamkosa mama.. Kakosa mashamba kakosa mali zingine.. Kajipatia kesi ya mauaji .. Hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa
 
Kamkosa mama.. Kakosa mashamba kakosa mali zingine.. Kajipatia kesi ya mauaji .. Hukumu yake ni kunyongwa hadi kufa
 
Na yeye akanyongweeee
Hio n 3rd newton's law of motion
 
This is too much...Mzee wa miaka 54 bado hujatafuta Mali unaenda kugombea mali na mama yako mpaka kumuua?

Maghayo huyu Mangi bila shaka atakuwa mvuta bangi. Wakina mangi wengi ni watafutaji na wana bidii ya utafutaji. Huyu ametoka wapi?

Pumzika Kwa amani Bi.mkubwa.

Kile ulichokiweka miezi tisa tumboni na ukavumilia madhara yake ya kukileta ulimwenguni wa uchungu mkali, ukikipa chakula toka mwiini mwako,ukakitunza kwa upendo Leo hii kimekufanyia ukatili mkubwa na kukua kwa maumivu makali
 
Wote age imeenda mali wanazipeleka wapi.
Yaan kama kuna ndugu wengine hapo mnaanza mapema kuagiza konyagi na kvant

Nankama mke wa huyo jamaa kijana mnaanza kupeleka na mchele soon

Nakama.kajificha namftafuta namlengesha kwa polisi akafie huko

Tugawane wenyewe tena mnauza mnagawananhela huyo mpaka atoke atakuutana na mifupa
 


Miaka 54????? Wazazi wake nao wanawajibika kwa malezi ya hovyo!
 
Unaweza kuta huyo muuaji alikuwa akiishi nyumbani kwa huyo mama na hiyo ikawa rahisi kumuuwa,wazazi watoto wenu wakishakuwa fukuza hapo nyumbani wakatafute miji yao,ama kwa kuwagawia ardhi yako,au watafute wenyewe,maana ukikaa nao kuna uwezekano wasijitafute maana wanajuwa wewe utakufa miaka michache ijayo,hivyo mali watazirithi,usipokufa mapema wanakutanguliza.
 
Mara nyingi familia kama hiyo usitegemee kua ugomvi umeisha bila shaka huyo bibi ana upande uliokua unamsupport na huyo mwanae nae lazima alikua na kundi lake nyuma.

Ngoma mbichi hiyo jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…