Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mom was a very beautiful one. She mothered a beautiful murderer. May her soul rest in Eternal Life. Yaani kweli msichana mrembo hivi hutaki kufanya kazi unataka pesa ya mama? She must be on drugs siyo bure kabisa. Yaani Mali zangu nianzishe Charity/Foundation niweke huko. Yaani I struggled heavily, accumulated millions then mtoto anataka tu Bure nimpe. Mimi alinipa Nani pesa? Nilisomeshwa nikasoma na nikasimama. Nikabana matumizi nikawekeza mpaka nikatoka Leo hii naheshimika na taasisi za fedha halafu mtoto ananiletea mkia. Pumbavu.Hao hapo mama na bintiView attachment 2075212
Kweli nimeona mama ni halfcast wa Kizungu. Binti naye mweupe Fulani aliyepitiliza. Hivyo ni points Five. Sema ulitaka Moshi kila mtu anarukia Wachagga wakati hata Wahindi na Waarabu wapo Moshi. Na Halfcast waliotokana na Yale mashamba ya Kahawa wamejaa Tele.Unaijua hiyo familia wapi umesoma kua ni mrema?baba alikua sombe...mama anatoka familia ya mashombe wa kizungu maarufu sana pale moshi kina john bennet...moshi ziko familia nyingi za kigiriki,kama kina taylor huwa wanashiriki mbio za magari,wamelowea moshi ila sio wachaga
Embu fanya research yako vizuri abused ya tangu utotoni ni zaidi ya hivyo ulivyo conclude.Kitu kimoja lazima uelewa hawa watu akili zao zipo wired differently.....sio kwamba anatamani kuishi kwenye nyumba ya mzazi wake bali anataka kitumia hiyo kama nyezo ya kutimiza mambo yake mwenyewe.
E u chukulia mtu ambaye ana chuki dhidi ya wanawake but yet anataka mbususu yao. Ni ile feeling ya power.
Mali sii inatumika kwa yeye kukidhi material needs zake.
Baba alikua anaitwa Dk pima ebreck shombeshombe huyo,atakua mchaga wa russiaWewe ishiatangazwa hii habari kwenye vyombo vikubwa usikalie JF tu...binti anaitwa Wendrick Mrema...mama ndio mixer mixer...kuwa chotara haimaanishi kuwa huwezi kuwa wakabila flani...shinyanga hapo kuna wasukuma waarabu kibao...kyaka kuna waarabu wahaya wakutosha.
Kwa kuua wanaumeWanawake wa KLM ni wapambanaji haswa.
Hipo kizazi na kizazi hawa waoane wenyewe kwa wenyewe laa sivyo unafuga nyoka ndaniNi sawa tu!!kama Mama kaua baba na mtoto anamalizia mama ili abaki mwenyewe!!hii tabia kina mama wa moshi wamefundisha watoto wao!!
Acha ubishi ni hilo kabilaNani kakwambia huyu binti mchaga?
Huyu binti mamake mchaga lakini babake wamjua? Mpaka mudhani ni mchaga?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Na hili kabila pia chunga sanaKwenye maisha chunga Sana .
Mali zako.
Mkeo wako
Watoto wako.
Hivi ndy vitu vitakavyo kutanguliza mapema sn kaburini.
Nani awape makatili nchi hiyo hakuna watasubiri sanaNdiyo Wana pigania kuchukua nchi wasimamie makusanyo yote ya nchi na maliasili za Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba lile kabila ni wauaji... taarifa haijataja kabila. Na hata kama ingetaja what did you want to conclude?
Jina la mwisho binti ni MremaHii familia sio wachaga.
Anaitwa Mrema baba ake embu jiongeze basi we mtu wa migombaniHivi kila anayeishi Moshi ni Mchaga?.
Kuna Wahamiaji Kikazi au Kibiashara pia tuache kukariri mambo.
Bwana ake shayo au massawe itakuwa alimsaidiaTuyaache yote, aliwezaje kuchimba hilo shimo
... ni kabila lipi lisilo na wauwaji? Kabila lako hajawahi kuuwawa mtu? Hivi hizi akili huwa mnazitoaga wapi?
Wala hakukosea mademu wa hili kabila sio wa kuoaWametoka kwenye kuua waume zao sasa wanaua mama zao? Mamaangu alinikataza kuoa mchaga sasa nimeamini