Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

Kuna jilani/ndugu yako kafa kwa corona mbona mnataka kusimamisha shughuri za watu aise, gvt imetunyima ajila tumeamua kujiajili we unataka tufungiwe ndani

Watanzania bana saijui tunataka nini, wacha tupige kazi aise
Pole sana rafiki kwa kufiwa na jirani

Korona ni hatari sana

Naamini itapita haraka ili turudi kwenye ajira zetu
 
Huu ugonjwa haujawahi kuondoka, kuna kipindi watu walikuwa wanashangilia kuwa umeondoka tunaufanyia send-off na tunatolewa takwimu kwenye makoti niliupata ulinitandika aisee, kwa mara ya kwanza nilipanga kabisa jinsi itakavyokuwa nikianza kukata moto, nilipambana na huyo mdudu kwa kila mbinu nilivyopona ni Mungu tu ndio anajua, sema kuna watu unawaendea vizuri unakuta ni mafua tu na kikohozi cha kawaida basi wanadunda kama kawa.
Mkuu ukipata muda embu share strategies ulitumia walau tuwe equipped in case of anything

Natanguliza shukrani
 
Serikali isiigie kwenye mtego wa kuchukua chanjo ya korona, bado ipo kwenye majaribio maana ni teknolojia mpya ya uzalishaji wa chanjo inayohusisha kuingiza vinasaba vinavyotokana na virus kwenye vinasaba vilivyo ndani ya seli hai za binadamu. Imeshaleta madhara ya allergy na vifo kwa baadhi ya watu waliochanjwa.
 
Umesomea wapi hiyo taaluma mbona huku watu wamepokea chanjo ni wiki sasa na mimi mwenyewe pia nimepata chanjo na sikupata shida yoyote na sasa napisha siku 21 nikapate dose ya pili....nyie endeleeni kubeba hearsay za wanasiasa
 
Laymen kama nyie ambao mnajitia ujuaji lazima mpokee hiyo chanjo kwa sababu hamjui the mechanism behind hiyo mnayoita chanjo. Nenda ka google vifo vilivyotokea Norway kutokana na side effects za hiyo chanjo...
 
Pole sana kwa hasira hadi kuniita layman nami nakujibu tu kuwa chanjo nilipata na sijaona shida yoyote na unapozungumzia mechanism unazungumzia nini kama Pharmacokinetics parameters ziko well stated na kila kitu kiko wazi au unadhani mimi naishi mahali ambako badala ya kutatua tatizo hulificha hadi likiwafika pabaya ndio huweka wazi!??
 
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mkuu sihitaji kubishana, nenda uka google side effects za hiyo mRNA vaccine na pia vifo 23 vilivyotokea Norway ambavyo vilitokana na madhara ya hiyo chanjo. Wewe kama hujahisi madhara yoyote hakuondoi uwezekano wa side effects..
 
Ni kweli kabisa. Hakuna mtu mwenye mamlaka ya kisheria wa kutoa au kusambaza taarifa ya magonjwa kama hayo isipokuwa hao wanne. Lazima wamiliki wa shule hiyo wachukuliwe hatua kali sana. Siku nyingine watatangaza wanafunzi watano wameugua Ebola! Inaonekana shule yenyewe inamilikiwa na watu wa nje ya nchi wanaotaka kuchafua biashara ya utalii wa nchi yetu ambao unarejea kwa spidi kali. Jf yetu wasitake kutuharibia kwa kusambaza humu taarifa kama hizi kwani ni kinyume na sheria ya magonjwa haya.
Litawapata jambo wamiliki wa hiyo shule,tena wiki hii hii.
 
Huko Mbugani walau wanataribu zao za safe distances ila mitaani shida diaspora wanaleta Corona.

Kuna mmoja kaipeleka ndani ya familia yao kama watu watatu wameonyesha dalili bila ya kuugua serious ila mama mtu chali kaponea hospitali.
 
Hapo katikati kulikuwa hakuna vifo vya kutatanisha ambavyo vilihusisha matatizo ya upumuaji!Sasa vifo vinavyohusiana na matatizo ya upumuaji vimeanza kusikika mitaani!
Wala sitaki kuingia kwenyw utaalumu,just a normal observation kwasababu hakuna vipimo vilivyokuwa vinafanyika au vimefanyika!
Hatuwezi kusema for certain kama Corona ilitokomea au haikutokomea,ila tunaweza kufanya analysis kulingana na madhara!
Unaposema vifo vya kutatanisha una maana gani? kwamba kuna vifo ambavyo wataalamu hawajavielewa kwa hiyo vinahitaj uchunguzi?
 
Huu ugonjwa haujawahi kuondoka, kuna kipindi watu walikuwa wanashangilia kuwa umeondoka tunaufanyia send-off na tunatolewa takwimu kwenye makoti niliupata ulinitandika aisee, kwa mara ya kwanza nilipanga kabisa jinsi itakavyokuwa nikianza kukata moto, nilipambana na huyo mdudu kwa kila mbinu nilivyopona ni Mungu tu ndio anajua, sema kuna watu unawaendea vizuri unakuta ni mafua tu na kikohozi cha kawaida basi wanadunda kama kawa.
Hao watu walipima na kupata majibu kuwa ni corona au ndio kipimo ni dalili tu za corona?
 
Hawa lazima wakipate Cha Moto, serikali imetoa utaratibu wa Nani anapaswa kutoa taarifa za Corona.
P, VP, PM na WA. Huyo aliyetoa taarifa Ana moja ya nyadhifa zilizotajwa?

Hawajatoa taarifa ya corona ila wametoa taarifa ya kufunga shule yao, hawana kosa hapo, kosa ni kutangaza idadi ya walioambukizwa
 
Hii shule inafanya masikhara sasa, Kwahiyo shule zingine zote ambazo hazijafungwa ni wajinga?
 
Back
Top Bottom