Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

Kuna jilani/ndugu yako kafa kwa corona mbona mnataka kusimamisha shughuri za watu aise, gvt imetunyima ajila tumeamua kujiajili we unataka tufungiwe ndani

Watanzania bana saijui tunataka nini, wacha tupige kazi aise
Pole sana rafiki kwa kufiwa na jirani

Korona ni hatari sana

Naamini itapita haraka ili turudi kwenye ajira zetu
 
Mkuu ukipata muda embu share strategies ulitumia walau tuwe equipped in case of anything

Natanguliza shukrani
 
Serikali isiigie kwenye mtego wa kuchukua chanjo ya korona, bado ipo kwenye majaribio maana ni teknolojia mpya ya uzalishaji wa chanjo inayohusisha kuingiza vinasaba vinavyotokana na virus kwenye vinasaba vilivyo ndani ya seli hai za binadamu. Imeshaleta madhara ya allergy na vifo kwa baadhi ya watu waliochanjwa.
 
Umesomea wapi hiyo taaluma mbona huku watu wamepokea chanjo ni wiki sasa na mimi mwenyewe pia nimepata chanjo na sikupata shida yoyote na sasa napisha siku 21 nikapate dose ya pili....nyie endeleeni kubeba hearsay za wanasiasa
 
Umesomea wapi hiyo taaluma mbona huku watu wamepokea chanjo ni wiki sasa na mimi mwenyewe pia nimepata chanjo na sikupata shida yoyote na sasa napisha siku 21 nikapate dose ya pili....nyie endeleeni kubeba hearsay za wanasiasa
Laymen kama nyie ambao mnajitia ujuaji lazima mpokee hiyo chanjo kwa sababu hamjui the mechanism behind hiyo mnayoita chanjo. Nenda ka google vifo vilivyotokea Norway kutokana na side effects za hiyo chanjo...
 
Laymen kama nyie ambao mnajitia ujuaji lazima mpokee hiyo chanjo kwa sababu hamjui the mechanism behind hiyo mnayoita chanjo. Nenda ka google vifo vilivyotokea Norway kutokana na side effects za hiyo chanjo...
Pole sana kwa hasira hadi kuniita layman nami nakujibu tu kuwa chanjo nilipata na sijaona shida yoyote na unapozungumzia mechanism unazungumzia nini kama Pharmacokinetics parameters ziko well stated na kila kitu kiko wazi au unadhani mimi naishi mahali ambako badala ya kutatua tatizo hulificha hadi likiwafika pabaya ndio huweka wazi!??
 
Mkuu sihitaji kubishana, nenda uka google side effects za hiyo mRNA vaccine na pia vifo 23 vilivyotokea Norway ambavyo vilitokana na madhara ya hiyo chanjo. Wewe kama hujahisi madhara yoyote hakuondoi uwezekano wa side effects..
 
Litawapata jambo wamiliki wa hiyo shule,tena wiki hii hii.
 
Huko Mbugani walau wanataribu zao za safe distances ila mitaani shida diaspora wanaleta Corona.

Kuna mmoja kaipeleka ndani ya familia yao kama watu watatu wameonyesha dalili bila ya kuugua serious ila mama mtu chali kaponea hospitali.
 
Unaposema vifo vya kutatanisha una maana gani? kwamba kuna vifo ambavyo wataalamu hawajavielewa kwa hiyo vinahitaj uchunguzi?
 
Hao watu walipima na kupata majibu kuwa ni corona au ndio kipimo ni dalili tu za corona?
 
Hawa lazima wakipate Cha Moto, serikali imetoa utaratibu wa Nani anapaswa kutoa taarifa za Corona.
P, VP, PM na WA. Huyo aliyetoa taarifa Ana moja ya nyadhifa zilizotajwa?

Hawajatoa taarifa ya corona ila wametoa taarifa ya kufunga shule yao, hawana kosa hapo, kosa ni kutangaza idadi ya walioambukizwa
 
Hii shule inafanya masikhara sasa, Kwahiyo shule zingine zote ambazo hazijafungwa ni wajinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…