FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Na hii ndio dawa yao hao mbwa wanaotaka kufanya kazi ya wizara ya afya, nani kawapa ruhusa ya kusitisha utoaji elimu? Masharti ya leseni yao ndio yanasema hivyo, kwamba wafunge tu shule kadri wanavyojisikia bila kushirikisha mamlaka husika? Nyang’anya leseni hao mbwa haraka sana!That is it! shule ndio imeshafungwa milele, tungoje ni watu wangapi watakamatwa kwa hujuma mbali mbali kuanzia kutolipa kodi hadi kutokuwana vibali halali vya kuishi na kufanya kazi nchini.
Mkuu ahsante nimeshapoa hiyo kitu ilikuwa inanipa machungu wenzangu wanasherekea mdudu kaondoka, halafu kiutani utani nilikuwa naona jahazi linaelekea kuzama. Nakumbuka sana waheshimiwa walivyokuwa wanatoa vikaratasi kwenye koti wanasema wagonjwa wamebaki wachache sana kwenye vituo vya kuwahudumia na hivyo ugonjwa ndio unaondoka.[emoji23][emoji23][emoji23] eti takwimu zinatolewa kwenye makoti, pole kwa kuugua mkuu
Niliwahi kuandika njia niliyotumia hapo nyuma baada ya kupata nafuu:Mkuu ukipata muda embu share strategies ulitumia walau tuwe equipped in case of anything
Natanguliza shukrani
Mfano wa karibu kabisa kuna jamaa nafahamiana naye kabisa alikuwa anataka kwenda South Africa kikazi December, alipimwa hiyo kitu ili apate cheti asafiri akakutwa positive alikuwa analalamika anakosa hela ya January. Alikuwa na mafua na kichwa kuumwa kwa mbali na tulikuwa wote bar tunabadilishana mawazo ndio akafunguka hilo jambo, alikuwa na mafua tu kwa mbali na uchovu kidogo, nadhani niliwahi kuandika humu. Ukitaka kupata stress ni uanze kupima watu wengi na utangaze idadi ya walioathirika, mbona tutakimbiana. Ni bora tu maisha yaendelee, ukiona hali si hali njia mbadala za kukabiliana nazo zinajulikana, wewe mwenyewe chukua tahadhari pale inapobidi tuendelee kutafuta maisha.Hao watu walipima na kupata majibu kuwa ni corona au ndio kipimo ni dalili tu za corona?
Kwahiyo wakikupima na kukukuta positive wanakuacha tu uingie mtaani kama kawaida ukajiuguze mwenyeweMfano wa karibu kabisa kuna jamaa nafahamiana naye kabisa alikuwa anataka kwenda South Africa kikazi December, alipimwa hiyo kitu ili apate cheti asafiri akakutwa positive alikuwa analalamika anakosa hela ya January. Alikuwa na mafua na kichwa kuumwa kwa mbali na tulikuwa wote bar tunabadilishana mawazo ndio akafunguka hilo jambo, alikuwa na mafua tu kwa mbali na uchovu kidogo, nadhani niliwahi kuandika humu. Ukitaka kupata stress ni uanze kupima watu wengi na utangaze idadi ya walioathirika, mbona tutakimbiana. Ni bora tu maisha yaendelee, ukiona hali si hali njia mbadala za kukabiliana nazo zinajulikana, wewe mwenyewe chukua tahadhari pale inapobidi tuendelee kutafuta maisha.
Hakuna sababu ya kumuweka mtu hospitali kama hana dalili kali, hata kwa nchi za walioendelea wanafanya hivyo. Tofauti ni kwamba wao wanahimiza watu wajitenge, na hutoa adhabu kali kama ukikutwa unazunguka mtaani. Huku kwetu ni ngumu mtu kujitenga njia pekee kama tungetaka kutenga watu ni kuwafungia wale ambao wapo positive quarantine, na yenyewe haitekelezeki ukisema uweke kila mtu aliye positive unaweza ukajaza kiwanja cha mpira na kutumia gharama kubwa. Corona ingekuwa ni ugonjwa unaoua kama Ebola au zaidi tungekuwa tunaongea mengine, ni ugonjwa hatari lakini ni asilimia chache ndio hufariki pale wanapoupata.Kwahiyo wakikupima na kukukuta positive wanakuacha tu uingie mtaani kama kawaida ukajiuguze mwenyewe
Hataree. TwifwaaaaaShule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa kuwa na Corona na jana Jumanne, Mwanafunzi mwingine ameonesha dalili za maambukizi ya virusi hivyo.
=====
A UWCEA day student in the M4 class in Moshi Campus tested positive for Covid-19 on 18th January. On 19th January a second student is displaying symptoms that may indicate Covid-19 although this has not yet been tested. As a result, the Moshi Campus has temporarily stopped all face-to-face teaching and has moved all learning online until 1st February.
Details are given in the Director’s letter of 19th January, as well as in her earlier email of 18th January. Information on the Distance Learning Program can be found at the Distance Learning Update.
Arusha Campus is continuing face-to-face teaching with additional precautions.
Anecdotal evidence suggested that the incidence of the virus in Tanzania was relatively low for much of 2020, but the current situation is unfortunately less clear.
Tanzanian authorities do not publish details of coronavirus cases in the country and there is no information about any tracking of the epidemic. Official figures have not been released since April 2020 (and the figures given on most data collection sites are those from that date).
There are no mandated rules for slowing the spread of the virus although social distancing and hand washing were advised. At present most people do not wear masks. In December a Ministry of Health spokesman indicated that there were no plans to import any Covid-19 vaccines to the country.
Tafsir tafadhali hawa mamba wa kijani
Hizi akili za kifukara kabisa.Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.
"Haka"Haka kashule kanachotutafuta katapata soon.
Alishasema hakuna cha lockdown wala shangazi yake na lockdown.Kuna jilani/ndugu yako kafa kwa corona mbona mnataka kusimamisha shughuri za watu aise, gvt imetunyima ajila tumeamua kujiajili we unataka tufungiwe ndani
Watanzania bana saijui tunataka nini, wacha tupige kazi aise
Kwa hiyo umeandika na kiingereza ili bwana zenu wajue au unataka kuonyesha unajua kiingeleza?Shule ya kimataifa ya UWCEA Kampasi ya Moshi, Kaskazini mwa #Tanzania imesitisha mafunzo ya ana kwa ana kwa Wanafunzi kwa madai ya mmoja wa Wanafunzi kuthibitishwa kuwa na maambukizi ya Corona.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tovuti ya Shule hiyo, Januari 18 Mwanafunzi huyo alithibitishwa kuwa na Corona na jana Jumanne, Mwanafunzi mwingine ameonesha dalili za maambukizi ya virusi hivyo.
=====
A UWCEA day student in the M4 class in Moshi Campus tested positive for Covid-19 on 18th January. On 19th January a second student is displaying symptoms that may indicate Covid-19 although this has not yet been tested. As a result, the Moshi Campus has temporarily stopped all face-to-face teaching and has moved all learning online until 1st February.
Details are given in the Director’s letter of 19th January, as well as in her earlier email of 18th January. Information on the Distance Learning Program can be found at the Distance Learning Update.
Arusha Campus is continuing face-to-face teaching with additional precautions.
Anecdotal evidence suggested that the incidence of the virus in Tanzania was relatively low for much of 2020, but the current situation is unfortunately less clear.
Tanzanian authorities do not publish details of coronavirus cases in the country and there is no information about any tracking of the epidemic. Official figures have not been released since April 2020 (and the figures given on most data collection sites are those from that date).
There are no mandated rules for slowing the spread of the virus although social distancing and hand washing were advised. At present most people do not wear masks. In December a Ministry of Health spokesman indicated that there were no plans to import any Covid-19 vaccines to the country.
Mkuu jinsi watu wanavyoichukulia corona unadhani ni sawa uhalisia wa corona yenyewe?Hakuna sababu ya kumuweka mtu hospitali kama hana dalili kali, hata kwa nchi za walioendelea wanafanya hivyo. Tofauti ni kwamba wao wanahimiza watu wajitenge, na hutoa adhabu kali kama ukikutwa unazunguka mtaani. Huku kwetu ni ngumu mtu kujitenga njia pekee kama tungetaka kutenga watu ni kuwafungia wale ambao wapo positive quarantine, na yenyewe haitekelezeki ukisema uweke kila mtu aliye positive unaweza ukajaza kiwanja cha mpira na kutumia gharama kubwa. Corona ingekuwa ni ugonjwa unaoua kama Ebola au zaidi tungekuwa tunaongea mengine, ni ugonjwa hatari lakini ni asilimia chache ndio hufariki pale wanapoupata.
Ndio maama yake,kuishia kusema matatizo ya kupumua haitoshi!Tungebiwa hayo matatizo ya kupumua yametokana na nini?Unaposema vifo vya kutatanisha una maana gani? kwamba kuna vifo ambavyo wataalamu hawajavielewa kwa hiyo vinahitaj uchunguzi?
Mkuu nakuona upo katika harakati za kupandikiza ujinga.