mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndio maama yake,kuishia kusema matatizo ya kupumua haitoshi!Tungebiwa hayo matatizo ya kupumua yametokana na nini?
Ukiondoa Ujinga naotaka kukupanda! Kwako wewe unataka nini juu ya Corona?Mkuu nakuona upo katika harakati za kupandikiza ujinga.
Kwa ajili ya tahadhari lakini kujua chanzo cha kifo cha ndugu na jamaa ni muhimu!Au wewe ukiletewa taarifa za msiba wa ndugu yako,haujisumbui na chanzo cha kifo?Umeuliza swali la kijinga kabisa!Sawa ukishaambiwa Ni Corona utafanya nini?
Za kuambiwa tunachanganya na zetu ndugu. Ukiona dalili unapiga nyungu, ukisubiri serikali itoe tamko utakuwa umechelewa, kwa sababu kama kufa utakufa ww na serikali inabaki. Kikubwa naunga mkono hoja yako, kila mtu kivyake achukue tahadhari kwa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni na kuepuka misongamano isiyo na ulazimaCorona haijawahi kuisha nchi hii, Magu ni 👿👿👿
Sasa hivi watu hawaambiwi, wameanza kuchukua tahadhali wenyewe.
Unajua mkuu humu kila mtu anaongea lake ndio maana nikauliza je wataalamu wameshindwa kuelewa hivyo vifo wamekiri hilo kwamba hawaelewi?Ndio maama yake,kuishia kusema matatizo ya kupumua haitoshi!Tungebiwa hayo matatizo ya kupumua yametokana na nini?
kwani huwa wanapima wapiDuh!
Walipimia wapi?
hawawezi toa mpaka jiwe asemeWizara ya Afya bado haijatoa idadi mpya ya wagonjwa?
Kwanini tunaambiwa Ukimwi upo?Mbona hawajaja kutuvalisha Condom au kutufungia tusizini?Ukiondoa Ujinga naotaka kukupanda! Kwako wewe unataka nini juu ya Corona?
Kwamba uwekwe lockdown au uje unawishwe mikono na kuvalishwa barakoa siyo?
Jiulize wewe na ujijibu wewe, korona ipo au haipo?Kwanini tunaambiwa Ukimwi upo?Mbona hawajaja kutuvalisha Condom au kutufungia tusizini?
Lakini utaona matangazo ya kuelimisha juu ya VVU na namna ya kujikinga ili kuepuka maambukizi!
Sasa kwanini kwa Corona inakuwa nongwa?Shida iko wapi kuwaambia watu wachukue tahadhari hizi?Kwanini watu waongopewe kuwa Corona haipo?Kuna kipindi tahadhari ilikuwepo na watu waliendelea na kazi zao!
Au ni kuogopa kudhalilika baada ya kutolea maneno ya shombo nchi zinazopukutisha watu kwa Covid?
Kuna maeneo hospitalini watu wanaambiwa wanawe mikono kabla ya kuingia kwani kuna mlipuko wa kipindupindu!Unajua mkuu humu kila mtu anaongea lake ndio maana nikauliza je wataalamu wameshindwa kuelewa hivyo vifo wamekiri hilo kwamba hawaelewi?
Umesikia wapi tangazo la Serikali ikizuia watu kuvaa barakoa? Kunawa maji na mtu kujifungia?Kwanini tunaambiwa Ukimwi upo?Mbona hawajaja kutuvalisha Condom au kutufungia tusizini?
Lakini utaona matangazo ya kuelimisha juu ya VVU na namna ya kujikinga ili kuepuka maambukizi!
Sasa kwanini kwa Corona inakuwa nongwa?Shida iko wapi kuwaambia watu wachukue tahadhari hizi?Kwanini watu waongopewe kuwa Corona haipo?Kuna kipindi tahadhari ilikuwepo na watu waliendelea na kazi zao!
Au ni kuogopa kudhalilika baada ya kutolea maneno ya shombo nchi zinazopukutisha watu kwa Covid?
Huo ndio upumbav?Mwanachi wa huko kijijini atawezaje kufanya judgement mwenyewe?Serikali na wizara ya afya ipo kwa ajili gani?Mnakuwa majinga majinga tu,shwain!Jiulize wewe na ujijibu wewe, korona ipo au haipo?
Je, unaonaje ukivaa barakoa ili ujilinde?
Ikibidi ujilockdown kabisa!
Serikali imesema Corona haipo na imeshatokomea nchini!Sasa kwa mazingira hayo,nani atachukua tahadhari yoyote?Wizara ya afya ipo kwa ajili gani kama iko kimya na hakuna miongozo inayotolewa?Acheni ujinga!Umesikia wapi tangazo la Serikali ikizuia watu kuvaa barakoa? Kunawa maji na mtu kujifungia?
Tafadhari chukua hatua
Unangoja nini Wewe kuchukua hatua?Serikali imesema Corona haipo na imeshatokomea nchini!Sasa kwa mazingira hayo,nani atachukua tahadhari yoyote?Wizara ya afya ipo kwa ajili gani kama iko kimya na hakuna miongozo inayotolewa?Acheni ujinga!
Hapa nilipo watu wawili wamechomoka kwa matatizo ya upumuaji wakati walikuwa hawana matatizo ya mapafu!Kuna siri kubwa inaendelea kufanywa na mamlaka!
Akili yako haifanyi kazi vizuri!Tatizo unakuwa mbinafsi unajifikiria wewe tu!Juhudi za kupambana zitakiwe ziwe collective ili zizae matunda kwa haraka!Sasa kama watu wameachwa na wewe ukachukua hatua,huoni risk itazidi kuwa kubwa kwa maambukizi kuzidi kukusogelea ulipo kuliko kama wengi wangechukua hatua?Acha ujinga,tumia ubongo wako vizuri!Unangoja nini Wewe kuchukua hatua?
Hivi wewe zimo?
Basi tulia hivyo hivyo na ususumbue watu!Akili yako haifanyi kazi vizuri!Tatizo unakuwa mbinafsi unajifikiria wewe tu!Juhudi za kupambana zitakiwe ziwe collective ili zizae matunda kwa haraka!Sasa kama waitu wameachwa na wewe ukachukua hatua,huoni risk itazidi kuwa kubwa kwa maambukizi kuzidi kukusogelea ulipo kuliko kama wengi wangechukua hatua?Acha ujinga,tumia ubongo wako vizuri!
Hayo masuala ya huko hospitalini mkuu ngoja na mie kwamba pale muhimbili kuna kipindi ilikuwa walinzi hawaruhusu mtu kuingia pale getini bila barakoa ila sasa unapita tu uvae au usivae,na kule ndani kuna baadhi ya sehemu ikuwa hauingii bila barakoa ila sasa unaingia bila barakoa. Je hiyo ina maana gani kwako?Kuna maeneo hospitalini watu wanaambiwa wanawe mikono kabla ya kuingia kwani kuna mlipuko wa kipindupindu!
Daktari gani anaweza kunyenyua kinywa na kusema chanzo cha kifo kinaweza kuwa Corona na atume sampuli zikapimwe?Hata zikiwa positive,hao wenye mamlaka ya kupima watasema??
Magufuli ameshajipiga pini ambalo lazima aendelee nalo mpaka mwisho,hata ikitokea watu wakaanza kufa kwa wingi,ataendelea kufukia tatizo kwa nguvu zote!
Na hata hivyo, bila kupepesa macho, ni lazima tuseme Asante Mungu, maana kipindi kile cha wimbi la maambukizi ya awali, Tumekuwa salama Sana nchini tofauti na wenzetu, na hata sasa, Ishini Kwa Imani hiyohiyo inawezekana tena Mungu kutuvusha, ondoeni hofu huku tukichukua tahadhari zote za kujikinga maana serikali haijazuia watu kuchukua hatua za kujikinga na koronaEti uwoga ni ugonjwa mkubwa kuliko ugonjwa wenyewe, hata takwimu toeni tu, mbona matangazo ya HIV yalikuwa yanasisitizwa kuwafanya watu wahabarike na wachukue hatua leo matangazo ni ugonjwa, ni kwatia watu hofu, inatakiwa tufikiri upya, hasira ni kali ukihisi mpedwa wako kaondoka kwa sababu ya Covid-19 na mtu anatangaza kuwa hatuna tatizo hilo, duniani Nchi usifiwa kwa mambo yake mazuri lakini hadi sasa sijaona sifa nzuri tuliopata kwa kuficha takwimu, kuacha kuvaa masks, wala kutochokua juhudi za kupata kinga, ni hatari siasa kuchanganya na utaalam, au kutafuta sifa baadhi wakiangamia, binadamu wote ukosea ila uharibu unapochanganya na kiburi, dharau, kujiona!