Moshi-Kilimanjaro: Kuna watu wana tabia ya kuchinja mbwa na kuuza supu

Kwani hayo mangada si ndo yamejazana sana huko kitaa..!!! Unakumbuka kule Zenji kuna muuza pweza alikuwa anaweka VIAGRA kwenye pweza wake?
Hiyo sijawahi kuisikia mkuu!
Inamaana mnara wa voda unasoma mazima?
Ilikuwaje sasa akagundulika?
 
Ni kweli kabisa, ulaji ni sehemu ya utamaduni wa jamii husika. Mimi nilikwenda mahali fulani nikala nyama ya Mamba na sikupata shida yoyote.

Kitambo sana yupo mzee mmoja alikuwa analinda mashamba ya uncle huko pwani, siku nimetumwa kumpelekea pesa nikakuta nyani kakaushwa vizuri sana, nikapita naye na sikupata shida yoyote.

Miaka ya 2000 nikiwa Lindi kikazi, nilikwenda Ruangwa ndani ndani huko, nikakuta menu ya panya nikala na nikawa fresh tu.

Utawekewa mwewe ukiaminishwa ni kuku..!! Wale kuku wa Salanda unawakumbuka? Kama hatujala mwewe pale sijui..!!
Wale walikuwa ni kuku, hakuna mwewe ana paja kama lile
 
Hiyo sijawahi kuisikia mkuu!
Inamaana mnara wa voda unasoma mazima?
Ilikuwaje sasa akagundulika?
 
hili Jambo ni kweli.pale tegeta watu walishawahi kula mishikaki ya paka.
 
hili Jambo ni kweli.pale tegeta watu walishawahi kula mishikaki ya paka.
Ila hali ya dhiki ni Kubwa Sana baina ya Watanzania, Sasa huyo Paka anakuwa na kilogram ngapi kuweza kumrejeshea faida.

Hao watu ni wakuwapa adhabu ya kula hizo nyama zao mpaka ziishe
 
Kaka paka hanunuliwi.anakamatwa tu mtaani.mapaka kibao.yanazunguka tu masokoni n.k
Ila hali ya dhiki ni Kubwa Sana baina ya Watanzania, Sasa huyo Paka anakuwa na kilogram ngapi kuweza kumrejeshea faida.

Hao watu ni wakuwapa adhabu ya kula hizo nyama zao mpaka ziishe
 

Ni hawa makabila mengine wanaovamia vamia biashara huko moshi ndio wanachafua kabila letu ila hakuna mchaga mpuuzi kiasi hicho anaeweza fanya hivyo
 
Nina wasiwasi na hii mishikaki inayouzwa usiku hasa kwenye vituo vya mabasi. Nasikia ni mitamu sana!!
 
Mbona iko vizuri mkuu.
 
Jamaa muuzaji naye alikuwa makini sana kuniangalia wakati nakula ule mshikak
 
Tulitegemea aje na watuhumiwa siyo simulizi, hao waliomsimulia walitakiwa wawe mashahidi namba moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…