Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Utawekewa mwewe ukiaminishwa ni kuku..!! Wale kuku wa Salanda unawakumbuka? Kama hatujala mwewe pale sijui..!!Supu iwe ya kuku ama samaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawekewa mwewe ukiaminishwa ni kuku..!! Wale kuku wa Salanda unawakumbuka? Kama hatujala mwewe pale sijui..!!Supu iwe ya kuku ama samaki
Kwakweli..!! Maana ukijichanganya tu umelishwa usivyowahi kulaHakuna kuaminiana saivi 😂
Hiyo sijawahi kuisikia mkuu!Kwani hayo mangada si ndo yamejazana sana huko kitaa..!!! Unakumbuka kule Zenji kuna muuza pweza alikuwa anaweka VIAGRA kwenye pweza wake?
Sahihi Mkuu.Kwakweli..!! Maana ukijichanganya tu umelishwa usivyowahi kula
Ni kweli kabisa, ulaji ni sehemu ya utamaduni wa jamii husika. Mimi nilikwenda mahali fulani nikala nyama ya Mamba na sikupata shida yoyote.Si suala la unyalu..!! Vitu vingi sana hamli kwa sababu tu mmekuta ipo hivyo na wala hamna sababu za msingi..!! Haya, unaweza kunieleza kwa nini huli nyama ya mbwa? AU kwanini huli nyama ya punda? AU kwanini huli nyama ya ngedere? etc..!! Nyama zote nilizozitaja hapo juu kuna watu wanakula na hawajapata madhara
Wale walikuwa ni kuku, hakuna mwewe ana paja kama lileUtawekewa mwewe ukiaminishwa ni kuku..!! Wale kuku wa Salanda unawakumbuka? Kama hatujala mwewe pale sijui..!!
Mikoani vikunguru vimekondeanaUtawekewa mwewe ukiaminishwa ni kuku..!! Wale kuku wa Salanda unawakumbuka? Kama hatujala mwewe pale sijui..!!
Hiyo sijawahi kuisikia mkuu!
Inamaana mnara wa voda unasoma mazima?
Ilikuwaje sasa akagundulika?
Ha ha haaHuo unaofanyika ni utapeli.
Kuna mahali tulikuwa na kazi fulani Vijijini huko, Sasa na Ugeni wetu asubuhi tukafika kwenye ki center tukaagiza mchemsho na Ndizi...
Badala ya kunionea huruma wewe unanicheka?😢Ha ha haa
Ha ha haa,jamanBadala ya kunionea huruma wewe unanicheka?😢
Siku Ile nilipiga mswaki hadi Colgate ya 4,500 iliisha siku Moja 😂
Ila hali ya dhiki ni Kubwa Sana baina ya Watanzania, Sasa huyo Paka anakuwa na kilogram ngapi kuweza kumrejeshea faida.hili Jambo ni kweli.pale tegeta watu walishawahi kula mishikaki ya paka.
We haya tu 😂Ha ha haa, jamani.
Ila hali ya dhiki ni Kubwa Sana baina ya Watanzania, Sasa huyo Paka anakuwa na kilogram ngapi kuweza kumrejeshea faida.
Hao watu ni wakuwapa adhabu ya kula hizo nyama zao mpaka ziishe
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Moris Makoi amesema kuna tabia ya baadhi ya watu kuchinja mbwa na kuuza nyama kwenye mabucha huku wengine wakichemsha supu ya mbwa na ndizi na kuwauzia watu wakidai ni supu ya nyama ya ng’ombe.
Akizungumza kuhusu tatizo hilo Makoi amewataka watumishi wa Idara ya Afya kuimarisha usimamizi wa utoaji wa vibali vya kusafirisha wanyama, kukagua na kusimamia mabucha kwani kuna wafanyabiashara wanaweka nyama ya ng’ombe yenye mihuri mbele ya mabucha huku ndani wakiweka vibudu.
Idara ya Afya katika halmashauri ya Wilaya ya Moshi imesema operesheni ya kukagua mabucha ya nyama ili kubaini wafanyabiashara wanaouza nyama ya mbwa tayari imeanza huku Mganga Mkuu wa Halmashauri, Alex Kazula akibainisha kuwa wameanza kufanya ukaguzi kwenye maeneo yanayodaiwa kuwa na tatizo hilo ikiwemo Kata ya Kibosho Kati, Okaoni na Kirima
Mbona iko vizuri mkuu.

Tulitegemea aje na watuhumiwa siyo simulizi, hao waliomsimulia walitakiwa wawe mashahidi namba mojaMwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, Moris Makoi amesema kuna tabia ya baadhi ya watu kuchinja mbwa na kuuza nyama kwenye mabucha huku wengine wakichemsha supu ya mbwa na ndizi na kuwauzia watu wakidai ni supu ya nyama ya ng’ombe.