MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre janga hilo ulilochuma kula na nduguzo
Siku hizi hawaungamishii kwenye mabox? Kama aliamua kukwepa kiungamishio akataka katoto kamlalie mapajani aliyataka mwenyewe. Kuna vitoto umri na maumbo hayaendani, umri mdogo umbo la kikubwa, kanakuja kuungama kuwa kameshaanza unzinzi kama unaugwadu lazima shetani akuambie ukajaribu kuthibitisha kama kana sema ukweli
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Tatizo sio kuoa au kuolewa, wale wanaoruhusiwa kuwa na wake wengi mbona kila kukicha wanayafanya hayo ya ubakaji na ulawiti? Anafanya hayo wakati nyumbani ana mke au wake, sema ni tabia kama tabia nyingine mbaya, haujasikia Baba anabaka binti yake wakati na mkewe yupo utasemaje hapo! Acheni wanaoweza kumtumikia MUNGU kwakujitoa wamtumikie.
 
JUMAPILI UKAUNGAME MWANA SIO KWA UANDISHI HUU
Mi naungama mbele ya masista tu...siwezi kuungama dhambi zangu mbele ya mwanaume mwenzangu.

Imagine kama katibu wa msanja angeenda kuungama dhambi mbele ya askofu masanja kuwa alimgegeda sana mkewe!!! Hali ingekuwaje??!!!

Mwenye haki ya kusikiliza maungamo ya wanadamu ni Mungu peke yake, na YEYE ndiye mwenye uwezo wa kusamehe na kufuta madhambi .
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre janga hilo ulilochuma kula na nduguzo
Itakuwa HAKO katoto kazoefu, kwanza mafundisho wapo wengi, angempigia kelele si angekamatwa hapo hapo ,ila dunia hii inaenda kasi mno, pole kwa mtoto, sasa ni wajibu wa wazazi kuwapa mafunzo ya kujihami na bazazi haijalishi ni nani kwake.
 
Waruhusiwe TU kuoa, tabu zote hizi za nini
Kwa hiyo wabakaji wore duniani hawana ndoa ??...

Mbona kuna madhehebu na dini zingine viongozi wao wameoa hata mke mmoja lakini bado wanabaka na kulawiti!!..

Na kingine kuwepo kwa sheria na kuifuata sheria ni vitu viwili tofauti, padre kukatazwa kula haina maana akikengeuka atakosa access ya kupata sex na kuzaa wakitaka

Sioni excuse hapa
 
Itakuwa HAKO katoto kazoefu, kwanza mafundisho wapo wengi, angempigia kelele si angekamatwa hapo hapo ,ila dunia hii inaenda kasi mno, pole kwa mtoto, sasa ni wajibu wa wazazi kuwapa mafunzo ya kujihami na bazazi haijalishi ni nani kwake.
Tatizo mkuu watoto wa siku hizi wanaanza sex mapema ni kiasi cha mtu mzima kujiongeza kuwa hiki kisichana ni kidogo na hakijafikia ukomavu wa kutoa maamuzi

Ila kama unavyoona hapo, kitendo kilienda smooth ikimaanisha binti haikuwa mara yake ya kwanza kusex na hata hofu hakuwa nayo. Kiufupi ni mdhoefu
 
Hii nikweli kabisa, nikikumbuka mie nikiwa na 12yrs hapana haiwezekani kabisa kitu hicho hicho kitu nikubali, isitoshe ni mbaba wa 40yrs daa jamani mtoto mpaka anavuliwa nguo ya ndani kapo tu inawezekana wamezoeanà itakuwa walikuwa wanafahamiana siku hiyo wametofautiana wamuulize vizuri huyo mtoto.
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Hili tukio halina uhusiano wowote na mapadri kutooa. Kubaka mtoto mdogo wa miaka 12 kunahusikaje na kutooa? Angekuwa amembaka dada mwenye miaka 20 hapo ningekubaliana na wewe. Watu wanaobaka watoto kama hawa hata wangekuwa na wake wawili bado tu wangebaka watoto.
 
Tatizo mkuu watoto wa siku hizi wanaanza sex mapema ni kiasi cha mtu mzima kujiongeza kuwa hiki kisichana ni kidogo na hakijafikia ukomavu wa kutoa maamuzi

Ila kama unavyoona hapo, kitendo kilienda smooth ikimaanisha binti haikuwa mara yake ya kwanza kusex na hata hofu hakuwa nayo. Kiufupi ni mdhoefu
What? Kiasi cha mtu mzima kujiongeza? Kumbe wabakaji mko wengi!
 
Kwa hiyo wabakaji wore duniani hawana ndoa ??...

Mbona kuna madhehebu na dini zingine viongozi wao wameoa hata mke mmoja lakini bado wanabaka na kulawiti!!..

Na kingine kuwepo kwa sheria na kuifuata sheria ni vitu viwili tofauti, padre kukatazwa kula haina maana akikengeuka atakosa access ya kupata sex na kuzaa wakitaka

Sioni excuse hapa
Shangaa hata wewe waseme tu ukweli wasiwachafue watumishi wa Mungu, kwanza upadre hawapewi tu kuchaguana tu utazani kupiga kura, ni process ndefu, kwenye watu mia lazima hakosekani aliye tofauti na wenzie.
 
Bila ya kuruhusiwa kuoana watapakuana sana tu ..Zipo kesi kibao kila kanisa wafanye utafiti uyo ni mfano tu!!
 
Back
Top Bottom