MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

Ifike hatua mapadri waruhusiwe kuoa maana hii kiwazenza alitakiwa amfanyie mke wake huko sio mtoto wa watu.
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Wanajielewa basi yaaani mtu apatikane kwa kuzaliwa halafu hao walipatikana kwa uzao wasiooe wala wasiolewe that's nonsense kweli mzungu kawakamata watu masikio
 
Hii hatari sana.
 
Unajuaje hakuwa mgeni? This is really shallow minded opinion
Hata kama alikua mzoefu haijustify padri kumuingilia binti huyo wa 12 years. Hata hao waliomzoesha huyo mtoto ni wabakaji vilevile.

Hata kama mtoto wa miaka 12 amekufuata akakuomba umfanye bado haiondoi ukweli kuwa umebaka.

Kuna comments nyingi za wabakaji katika huu uzi.
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre janga hilo ulilochuma kula na nduguzo
Padr itakuwa alikuwa kibamia
 
Hii kesi nadhani wazazi wana senti watapata haki huku uswazi kuna mtoto kaingiliwa na yeye mwenyewe kakiri jamaa anamkula sio mara moja , hospital vipimo vinaonyesha mtoto hajaingiliwa na polisi wanawatishia wazazi kutoendelea na kesi. Ukiona kesi ya hivii mpk ilipofika jua wazazi wamekomaa hizi kesi ni nyingi mnoo. Za kuharibiwa watoto ukiazia watoto kwa watoto mpk wakubwa kuharibu watoto. Inatisha.
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na nduguzo
Inawezekana alimtishia kumuua au alimpa tumaini la uongo la kidini/ kiimani. Mfano anaweza kumwambia ngoja nikufanye hivi ili nikujaze roho wa bwana.

Daaah yapo wapi maadili ya muafrika?
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
Padri Martin Luther alishindwa akaona asiwe mnafiki akaamua kuoa, mpaka leo KKKT wanaoa
 
Mambo ya kula tunda kimasihara yamemponza Padri,amepractise mbinu zenu mabaharia,...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…