MOSHI: Mahakama yaelezwa mtoto anayedaiwa kubakwa na Padri alienda kuungama

Akikutwa na hatia huyu Padri mniite dog nipo nimekaa paleee.
 
Miaka 12 kwa mwanaume wa miaka 40 na hata kelele hakupiga.. Akavaa nguo akaenda zake. Yaani huyu mtoto ni mzoefu wa hayo mambo. Haya Padre hilo janga ulilochuma kula na nduguzo
Alikuwa anakwenda kuungama dhambi gani miaka 12 kama si uzinzi?
 
Nawaza San mm mwnagu Ni mkatoliki na anakah jirani kbsa na kanisa la katoliki ninukuta ndio umetenganisha na nyumba ya mapadri dah sijui yaani kila nikiona nyusi za Hawa watu naaanza kumuwaza mwanagu
 
Maswali ni mengi kulingana na hayo maelezo ya awali, inamaaa siku hizi kitubio hakifanyiki ndani ya kanisa na kinafanyika ndani ya nyumba ya Padre? Hakukuwa na watu wengine katika hiyo nyumba? Huyo mtoto hakuambatana na wenzake wakielekea kwenye nyumba ya Padre? Hakukuwa na purukushani zozote wengine wakasikia au mtoto alikuwa mzoefu katika hivyo vitendo? Ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri ni wakati sasa viongozi wakuu wa kanisa katoliki kutafakari upya juu ya katazo la kuoa kwa mapadri na kuolewa kwa masister
Kuoa au kuolewa ni agizo la mungu na sio dhambi....
mungu? au Mungu/MUNGU?.Hata kutooa pia ni agizo la MUNGU.
 
Unakataa kuungama kwa Padre kisa ni binadamu mwenzako lkn unaomba Mchungaji binadamu mwenzako akuombee.This is Ridiculous.
 
kesi kama hizi zinapaswa zisikilizwe Siku moja tu na kisha kutoa hukumu.
 
😁😁sema tatizo sheria za nchi ndio hizo. Hata kama mlikubaliana lakini kwa umri wake bado hajakomaa kiasi cha kutoa maamuzi, ni ubakaji
 
Mtoto WA miaka 12 anaungama nini?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni katoto kisheria Ila ni kakubwa kwa mambo yetu Yale.
 
Mara nyingi jambo likiletwa kwa taharuki, watu wanalichukulia jambo hilo kitaharuki! Hawataki kufikiria upande mwingine.

Kesi ya padre kuhusu kubaka, tunaipa uzito upande mmoja tu, yaani tunaamini kwa asilimia mia kuwa padre alimbaka binti. Kwa maelezo ya mtetezi wa binti, inaonekana kuwa binti huyo aliuanza mchezo huo siku nyingi zilizopita.

Wakili anasema kuwa binti alimwambia mama yake kuwa padre alimfanyia kitendo cha ukubwa, na mama yake akaripoti polisi, na polisi waliruhusu achunguzwe na daktari. Daktari alithibitisha kuwa binti ameingiliwa. Swali; kwani huyo binti asingeweza kuingiliwa na watu wengine?

Majibu ya daktari hayatoshi kumtia padre hatiani, labda kama mtoto huyo aliingiliwa kwa mara ya kwanza. Mimi nadhani tungeangalia na utetezi wa upande wa padre. Hapa tuangalie mahusiano ya huko nyuma kati ya huyo padre na familia anayotoka mtoto anayedaiwa kubakwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…