muheza2007
JF-Expert Member
- Mar 19, 2010
- 483
- 771
WALIKOSEA KUSIKILIZA USHAURI WA CCM. HAPO WANGEJIFANYA KAMA HAWAJUI CHOCHOTE ALAFU WANGEZIRUDISHA MAPEEMA WAONE KAMA ZINGEKATALIWA AU LA MI BINAFSI NAMUUNGA MKONO MKURUGENZI
Umenena vema vema mkuuBila tume huru wapinzani wanajisumbua tu. Huyu msimamizi anaonekana hata kwambali kwamba hawezi tangaza ushindi kwa mpinzani kwa namna yeyote hata ashinde kwa 90%.
Inatakiwa Apasuliwe Mkurugenzi mmoja ili wengine watie akili. [/QUOTE said:Jf bhana
But n kweli inaonekana wana tabia ambayo inaotea mizizi kabisa
We're in zero-tolerance zone now
Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi
Lililopo..Mkurugenzi anatakiwa kuwa na hekima kuliko alivyoonyesha. Yeye kama msimamizi hana haki yakukataa fomu yeyote ambayo ameitoa mwenyewe hata kama wanaoirudisha wameonyesha wasiwasi nazo. Yeye ni mtumishi wa umma na wananchi wote ndio mabosi wake. Alitakiwa awathibitishie kuwa hizo fomu walizopewa ni halali kwa kuwaonyesha fomu nyingine zinazofanana nazo. Badala ya kususa alitakiwa awaandikie kuwa atapokea fomu zote zilizotolewa na ofisi yake pamoja na risiti tofauti zilizotolewa. Lugha ya kusema kuwa hawezi kuziamini kwa sababu mtu yeyote anaweza kuchonga mhuri ni kuthibitisha hofu ya hawa wagombea kuwa alikuwa na mpango wa kuzikataa toka awali. NEC nao wanatakiwa kutoa maamuzi mapema panapotokea sintofahamu kama hizi.
Amandla...
Inatakiwa Apasuliwe Mkurugenzi mmoja ili wengine watie akili.
Kwani CCM ina matatizo ? Yepi hayo ebu tujuze ?Matatizo mengine CDM wanajitengezea wenyewe.
Kitawaka.
Wakitandikwa wakurugenziccm kama wawili watatu kipigo cha mbwa koko ndipo CCM itazinduka na kuacha ufala wao
Matatizo mengine CDM wanajitengezea wenyewe.
Kwani kazi yake si ni kupokea fomu? Suala la feki au sio feki linaanzia wapi kama ni yeye mwenyewe ndiye alitoa fomu baada ya malipo kufanyika?Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Hebu mtaalam tusaidie kwanini wagombea wa ccm wamepewa risiti ya halmashauri na wengine wasipewe wapewe ya tofauti?Sasa mkurugenzi kakosea nini hapo?
Wewe unapewa fomu kisha unasem ni feki halafu unataka uirudishe kwa aliyekupa fomu feki tena.
Huyo jamaa wanayemuita katibu analisauti likubwa tu na anaongea saana ila kichwani hamna kitu.
Hata mimi nisingeipokea...nenda kqnishtaki nimekupa fomu feki...ili nishtakiwe kwa kujaribu kukurubuni.
Lililopo..
Nimekupa fomu kisha ukasema ni feki.
Kisha ukaijaza na kuirudisha...so far does it make sense to you sir?
Mimi kama fomu niliyopewa ingekuwa feki ningeirudisha bila kuijaza na kudai iliyo halali maana kama naijua feki basi iliyohalali naijua vema.
Ukinirudishia fomu uliyoijaza huku uliita feki kuna mengi...kwanza ulikurupuka kunichafua. Pili, je nitajibu nini kama fomu uliyoirudisha kweli ni feki na ni mtego, niliyokupatia ilikuwa halali hivyo ulifanya mchezo wa kuset minds za watu kwamba nimekupq feki ilihali ilikuwa halali...sasa wakati wa kurudisha unarudisha feki.
100% correctSasa mkurugenzi kakosea nini hapo?