Kwani yule askari wa Tunduma aliyepasuliwa jana nani walimpasua? Au unajitoa ufahamu?Wa kupasua sasa! Ni hawa hawa waliodeki barabara au?
Watapusuliwa wakiendekeza upuuzi wao...ngoja tuone kama watafanya upuuzi wao.Jaribu kama una ubavu
Kosa lake ni lipi hapo? Walioanza kusema wamepewa fomu fake ni Chadema wenyewe. Sasa kama mtu unahisi umepewa fomu fake si unatakiwa kuithibitisha polisi kabla ya kuirejesha?Wakitandikwa wakurugenziccm kama wawili watatu kipigo cha mbwa koko ndipo CCM itazinduka na kuacha ufala wao
Tena si polisi bali na wakili au mahakama!! Ila bw. DED msomi anaelekeza zikathibitishwe polisi!!!Sasa fomu orijino inathibitishwaje polisi? Fomu inathibitishwa kukiwa na copy yake
KiinimachoSasa uchaguzi wa nini kama hatutaki kushindana?
Wakurungezi waliopo waliokotwa kwenye NGOs,wakapewa madaraka wakaajiriwa.kwa mantiki hiyo hawajui uongozi na hawana uzoefu serikalini.Mkurugenzi anatakiwa kuwa na hekima kuliko alivyoonyesha. Yeye kama msimamizi hana haki yakukataa fomu yeyote ambayo ameitoa mwenyewe hata kama wanaoirudisha wameonyesha wasiwasi nazo. Yeye ni mtumishi wa umma na wananchi wote ndio mabosi wake. Alitakiwa awathibitishie kuwa hizo fomu walizopewa ni halali kwa kuwaonyesha fomu nyingine zinazofanana nazo. Badala ya kususa alitakiwa awaandikie kuwa atapokea fomu zote zilizotolewa na ofisi yake pamoja na risiti tofauti zilizotolewa. Lugha ya kusema kuwa hawezi kuziamini kwa sababu mtu yeyote anaweza kuchonga mhuri ni kuthibitisha hofu ya hawa wagombea kuwa alikuwa na mpango wa kuzikataa toka awali. NEC nao wanatakiwa kutoa maamuzi mapema panapotokea sintofahamu kama hizi.
Amandla...
Wapinzani nao ni wapumbavu waliambiwa mapema lakini huwa wanasumbiri siku za mwisho ili waje kulalamika hapa. Shame on themMengine wanayataka fomu walikaa nazo siku zote ili iweje,
Hiyo siyo haki; mkurugenzi afuate sheria tu.Wagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi.
======
Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La.
Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote vinaenda polisi kuthibitisha, amejibu yeye aliemtuhumu na wote waliomtuhumu ndio wanatakiwa kwenda polisi kuzithibitisha kabla hawajazileta kwake.
Pia katibu wa CHADEMA alilalamikia kuwa na risiti za aina mbili kwa wagombea wa CCM na CHADEMA ambapo risiti za CHADEMA zimekuwa printed kwenye computer ilhali za CCM ni stakabadhi ya halmashauri.
Kuhusu hilo mkurugenzi, amemtaka kuwasilisha kwa maandishi malalamiko yao na yeye atakaa na wataalam kuangalia kipi ni kipi lakini amesema uko utata, zipo ambazo ni stakabadhi kama za mahakama, nyingine za mfumo na nzuri ni ya stakabadhi lakini wakitaka majibu wawasilishe malalamiko yao.
Pia mwenyekiti amelalamika suala la risiti ya mgombea ubunge kuandikwa ni ya mgombea udiwani, mkurugenzi ametaka wayawasilishe wamalizane.
=====
Kwa upande wake mkurugenzi amesema ametoa fomu halali na CHADEMA wakaandika barua na kumpelekea wakimtuhumu amewapa fomu zisizo halisi na baadae kwenda polisi. Ikabidi awaandikie kwamba hilo suala halina shida lakini kwa kuwa wameenda polisi, yeye hana uweza wa kutambua kitu 'fake' hivyo watafute mamlaka yenye weledi wa kutambua hivyo asingeweza kuzipokea.
Duu, ni ile kauli nimekupa gari, nakulipa mshahara na marupurupu haalafu eti utangaze .........! au analipa fadhila! sasa polisi watathibitishaje ilhali yeye ndie alizitoa? Vituko katika ubora wakeWagombea wa CHADEMA Moshi wakataliwa kupokelewa fomu zao na Mkurugenzi.
======
Mkurugenzi amegoma kupokea fomu baada ya tuhuma za awali kwamba sio halisi na kutaka kabla wahusika hawajazirudisha wakathibitishe polisi kama ni halisi ama La.
Baada ya katibu wa CHADEMA kuhoji iwapo vyama vyote vinaenda polisi kuthibitisha, amejibu yeye aliemtuhumu na wote waliomtuhumu ndio wanatakiwa kwenda polisi kuzithibitisha kabla hawajazileta kwake.
Pia katibu wa CHADEMA alilalamikia kuwa na risiti za aina mbili kwa wagombea wa CCM na CHADEMA ambapo risiti za CHADEMA zimekuwa printed kwenye computer ilhali za CCM ni stakabadhi ya halmashauri.
Kuhusu hilo mkurugenzi, amemtaka kuwasilisha kwa maandishi malalamiko yao na yeye atakaa na wataalam kuangalia kipi ni kipi lakini amesema uko utata, zipo ambazo ni stakabadhi kama za mahakama, nyingine za mfumo na nzuri ni ya stakabadhi lakini wakitaka majibu wawasilishe malalamiko yao.
Pia mwenyekiti amelalamika suala la risiti ya mgombea ubunge kuandikwa ni ya mgombea udiwani, mkurugenzi ametaka wayawasilishe wamalizane.
=====
Kwa upande wake mkurugenzi amesema ametoa fomu halali na CHADEMA wakaandika barua na kumpelekea wakimtuhumu amewapa fomu zisizo halisi na baadae kwenda polisi. Ikabidi awaandikie kwamba hilo suala halina shida lakini kwa kuwa wameenda polisi, yeye hana uweza wa kutambua kitu 'fake' hivyo watafute mamlaka yenye weledi wa kutambua hivyo asingeweza kuzipokea.
Hakuna ubaya wowote ni hisia zako tu mkuuDah hii ni mbaya sana kwa Upendo na amani ya taifa hili
Hakuna Shida kamandaBado kuna majinga hayaoni kuna shida nchi hii!!
Chadema ujuaji utawaponza sana. Fomu amewapa yeye lakini na vyama vingine vimepewa. Kwanini nyinyi ndio munaona mumeonewa?. Hao wengine wanasemaje? Kama kuna hofu ya hivyo kwanini musiende wote kwa pamoja na vyama vingine kulitatua hilo suala?
Kumbe ni huu jamaaa!! Kada kindakindaki na maslahi wa chama pendwa, kitambo saaana. Yupo tayari kwa lolote ili mradi anachokisimamia kisifeli. Alikuwa Songea akahamishiwa Mbeya huko, kumbe sasa yupo huko??. Tuendelee kumuombaMungu wa kweli aonyeshe Muujiza kwenye haya matendo. Kwa haya yanayoendelea Mungu tusaidie
CHADEMA wataka TUME YA UCHAGUZI kumuondoa msimamizi wa uchaguzi Moshi Vijijini ambaye ni mkurugenzi wa wilaya Castory Msigala kwa vile hawana imani naye kutokana na matendo na mienendo yake ktk kazi ya kusimamia mchakato mzima wa kuelekea katika kufanyika uchaguzi mkuu ulio wa haki na huru oktoba 2020.
Mfano fomu walizopewa CHADEMA zinautofauti mkubwa na zile fomu walizopewa wagombea wa CCM.
Risiti kwa ajili ya malipo walizopewa CHADEMA kwa ajili ya fomu zinautofauti na risiti walizopewa CCM kwa ajili ya kufanyia malipo.
Mkurugenzi amekiri fomu zina utofauti na mkurugenzi hana uwezo wa kutambua fomu halali au la.
Chanzo: Mwananchi digital