Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nadhani wangeripoti polisi hayo yote yasingewapata, kesi ingekuwa ndogo sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kazi ya Mahakama ni kutafsiri sheria tu. Ukileta mambo ya logic utafanya vituko, hii mbona ipo wazi sana.Mahakama imetumia mantiki (Logic). Elewa basi, sheria huwa inatoa mwanya kwa Logic kutumika, na imetumika.
Assume hilo unalosema ni sheria linefanyika, ukiacha kupoteza muda na pesa, kuna utofauti gani na kama halikufanyika?
Kwanini wamtupe? Maamuzi mengine ya kijinga sana.